Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki.

ANGALIA HAPA VIDEO


Nini maoni yako?

Written By Mjanja M1 ✍️
 
Lengo la serikali limefanikiwa.
Walipo mkabidhi huyo muhuni gari ya pesa ndefu wakumtegemea Nini?
 
Kiserikali hapo, huo sio ushahidi kuwa jamaa yuko tooop! Weka ushahidi, ndo hiyo videos?
 
mnazungumza naye kilokole sana, angekula makonde mawili matatu akili izinduke angejibu kwa kuchangamka mbona :D :D
 
Hapo kimeumana lazima watampima Alcohol kupata Evidence
Mpaka wafikie huo uamuzi, ujue jamaa hana mahusiano mazuri na wenzake/viongozi huko kazini!

Unadhani kwanini serikalini mambo ni mseleleko tu, nchi haisogei? Hata angeua, utaambiwa amesimamishwa, mara kaachishwa ila una jinsi ya kuthibitisha kuwa hayo yote yamefanyika?

Mtu kaiba mabilioni, adhabu yake ni kutolewa kwenye nafasi yake...mabilioni anaachiwa!

Sasa hata ningekuwa mimi, unanichia mabilioni, kazi ya nini!
 
Back
Top Bottom