Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
4,728
6,983
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
 
Matumizi mabaya sana ya fedha na rasilimali za Umma.
Magari ya Serikali yanafanya nini katika msafara wa Chama? Nani anaidhinisha haya kutokea.

Kuna vituo vya afya havina vitanda vya akina mama kujifungulia.
Kuna vituo vya Afya havina Solar
Kuna maeneo Wazazi hawawezi kununua vifurushi vya kujifungulia.

Kuna shule zimesimama kwa miti hata kuziita shule ulimi unasita. Kuna matatizo mengi sana kwa Wananchi.

Msafara wa DAB unatumia mafuta kiasi gani! kuna Watu hawana pesa za kutoa miili ya Wapendwa ' pasimoto'

Leo magari zaidi ya 10 yanakuwa '' written off'' kesho tunaagiza mengine.

DAB anafaida gani katika Taifa hili kiasi cha kuruhusiwa kufuja mali za Umma kiasi hicho.

Miaka 60 ya CCM sisi ni masikini duniani! hapana si masikini wa rasilimali, ni masikini wa akili

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Matumizi mabaya sana ya fedha na rasilimali za Umma.
Magari ya Serikali yanafanya nini katika msafara wa Chama? Nani anaidhinisha haya kutokea.

Kuna vituo vya afya havina vitanda vya akina mama kujifungulia.
Kuna vituo vya Afya havina Solar
Kuna maeneo Wazazi hawawezi kununua vifurushi vya kujifungulia.

Kuna shule zimesimama kwa miti hata kuziita shule ulimi unasita. Kuna manatatizo mengi sana kwa Wananchi.

Anavyojidai sasa anatatua shida za Milioni moja huku anasafiri Gharama za milioni 500
 
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.

Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.

Inakuwaje Mwenezi wa CCM afuatane na msururu wa magari ya Serikali kwa ajili ya shuguli zisizo na tija.
Haya anayofanya Zerobrain Bashite hayana baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kuna wanaojua alama za nyakati, kuna ujumbe kwenye ajali hii
View attachment 2901174
Hassara kubwa..
So unprofessional...
 
Na huwa wanakimbia nini au wanamkimbia nani? Ukiona speed ya magari kwenye hii misafara utadhani wanakimbizwa. Nchi hii wajinga ni wananchi, wanapokuja kuomba kura huwa wanajidai nyie ndio wenye nchi, wakiishapata madaraka wananchi tunageuka kuwa adui, wanakaa mbali nasi, ulinzi unaimarishwa utadhani tuko vitani.

Jiulize sababu ya kukimbiza magari kwa kasi hiyo kwenye misafara yaho ni nini hasa?

Kwanza nashangaa kwanini hawakufa wote?
 
Matumizi mabaya sana ya fedha na rasilimali za Umma.
Magari ya Serikali yanafanya nini katika msafara wa Chama? Nani anaidhinisha haya kutokea.

Kuna vituo vya afya havina vitanda vya akina mama kujifungulia.
Kuna vituo vya Afya havina Solar
Kuna maeneo Wazazi hawawezi kununua vifurushi vya kujifungulia.

Kuna shule zimesimama kwa miti hata kuziita shule ulimi unasita. Kuna manatatizo mengi sana kwa Wananchi.

Msafara wa DAB unatumia mafuta kiasi gani! kuna Watu hawana pesa za kutoa miili ya Wapendwa ' pasimoto'

Leo magari zaidi ya 10 yanakuwa '' written off'' kesho tunaagiza mengine.

DAB anafaida gani katika Taifa hili kiasi cha kuruhusiwa kufuja mali za Umma kiasi hicho.

Miaka 60 ya CCM sisi ni masikini duniani! hapana si masikini wa rasilimali, ni masikini wa akili

JokaKuu Pascal Mayalla
Cc The Boss Mag3 Dark City Sibonike
 
Hii mikoa ya kusini ndo maana hainaga maendeleo sababu ya uchawi! Alienda Magufuli wakampulizia moshi msafara wake, baada ya hapo afya yake ikadolola mpaka akafariki!
Magufuli aliwadhulumu hela za korosho halafu alaleta dharau. Waka deal naye
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom