KunguruNdege aina gani
Umeua 😅Kunguru
Itapendeza na yeye akiwepo kama abiria.Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
View attachment 2864598
Itapendeza sana kama hiyo ajali ikitokea basi na yeye awe ni sehemu ya abiria wa hiyo ndege.Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
View attachment 2864598
Isije ikawa private jet yangu gulf stream 6500 2021.Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
View attachment 2864598
Anatafuta sababu ya kufungua kanisa hapoBabalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
View attachment 2864598
My wangu hujambo?Naona manabii wanazidi kuongezeka..
Sio kanisa ni uaguziAnatafuta sababu ya kufungua kanisa hapo
Sijambo shikamooMy wangu hujambo?
Unasalimia asali wako jmnSijambo shikamoo
Okay, za siku?Unasalimia asali wako jmn
Siku ngapi mywangu😂Okay, za siku?
Okay 😂, unaendeleaje??Siku ngapi mywangu😂