Video: Nani mwenye Makosa kwenye hii ajali ya Bodaboda?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.

Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?

Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.

Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?

View attachment 2903346

Hapo Kosa ni la boda boda kwa kutokutumia kifaa kinaitwa Horn kuwatahadharisha watu kuwa anakuja ili wampishe.
Huyu BODA amesababisha ajali kwa ujinga wake!!!
 
Contributary negligence.
Sawa dereva anamakosa, lakini nyinyi mnafanya mazungumzo katikati ya barabara.
Hiyo barabara au uchochoro? Kwanini boda atake kupita katikati? Pili inaonekana bike haina break
 
tujikumbushe na maneno ya lema
images.jpg
 
Ndio maana yule jamaa alijisemea boda boda ni laana, sasa hapo alitaka kufanya nini kwa mfano 😁😁
 
Back
Top Bottom