Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua.
Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla.
Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini.
Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege.
Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo.
Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA
Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa...
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye barabara kuu inayounganisha Mkoa huo na Mikoa mingine na kwa kuanzia camera hizo zitafungwa eneo la...
Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa sana na vifo vya wanafamilia 4 waliofariki kwenye ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea watoto wao hawa waliofariki, hivyo ameagiza wazazi hawa wawe...
Golden Deer 🦌 imelala chali.
Ndani ya miezi mitatu mna zaidi ya ajali kumi. Achaneni na Sauli hamumuwezi, thaminini uhai, usalama na maisha ya abiria wenu.
Jifunzeni kutoka kwa Scandinavia
Mpaka sasa taarifa zilizopo zinasema basi la Golden Deer T 618 DMG kutoka Kyela kuelekea Dar es Salaam imepata ajali.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
---
Morogoro. Mtu mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Kizito wilayani Mikumi na wengine wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi la...
Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema.
Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
Aiseeh usafiri wa boda ni hatari, hawa ndugu zetu hawapo makini kabisa sheria za usalama barabarani hawazifuati kabisa.
Nimeshuhudia ajali ya hapa Chang’ombe Temeke, boda kapingwa na gari mlio umesikika mithiri ya bomu.
Huyu boda angekufa kwa uzembe wake yeye mwenyewe, taa za barabarani...
Watu wa tatu wanahofiwa kufa katika ajali ilitotokea usiku huu maeneo ya Mwisho wa lami Buza.
Gari hiyo aina ya Scania tanker imefeli kona na kuwaparamia wafanya biashara waliokua pembezoni mwa barabara.
Credits kwa jeshi la polisi lililofika ontime na kufunga barabara na kuwatawanya watu la...
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.