ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

    Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria. Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78? Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani? Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi? Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi? RPC Tabora, OCD Nzega na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali bado imelala usingizi mzito wakati ajali inamaliza wananchi wake na kuwaachua ukilema mamia?

    Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali? Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Kamati imebaini kuwa moto wa Kariakoo ulisababishwa na hujuma, sio ajali

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe. Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

    Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa

    Pia soma: TAZARA: Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa
  8. fungi06

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi. Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Watu 5 wapoteza maisha katika ajali ya Lori na Bajaji

    Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha. Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura. Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonesha kila sekunde 24 kuna mtu anafariki kwa ajali ya barabarani

    Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni. Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali

    Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari Njombe Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
  16. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajali nyingi hutokea usiku?

    Wanajamvi salaam. Kwa utafiti wangu usio rasmi kwenye vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo JamiiForums, nimebaini kwamba ajali nyingi hasa zile mbaya hutokea mida ya usiku. Barabara maarufu kwa ajali kama maeneo ya Mikese imekua ikishuhudia ajali mbaya zinavypelekea vifo vya watu wengi na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Beki wa Simba SC, Che Malone apata ajali ya gari Mikocheni karibu na Feza School

    Nimepata taarifa beki wetu kisiki kapata ajali maeneo ya Mikocheni, alipokwenda kumpokea ndugu yake usiku wa kuamkia leo, Septemba 24 ambaye amekuja kumtembelea. Sikusudii kuleta taharuki isipokuwa nimewasikia watu wakisema katika daladala, pole ukuta wa Yericko kama ni kweli. UPDATE Taarifa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Gari lililobeba Mashabiki wa Namungo lapata ajali na kusababisha vifo vya wanne

    Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku USSR
Back
Top Bottom