afya

  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Afya ni Huduma, tuboreshe Hospitali za Umma

    Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao. Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinachoendelea NHIF ni reflection ya Incompetence za Viongozi, Wivu na Ushauri Mbovu kwa Waziri wa Afya

    Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
  3. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima. Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia. Waziri wa Afya hatujamsikia...
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Serikali kushindwana kauli na hospitali binafsi kwenye kitita cha NHIF, Waziri Ummy asaidiwe kuondoka wizarani

    Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin. Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
  6. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Wapiganapo fahari wawili nyasi ndizo huumia

    Wapiganapo fahari wawili, nyasi ndizo huumia! Nini maoni yako juu ya picha hii mdau?
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Waziri wa Afya alivyokuwa na maono, kinachofuata ni kuongeza makato kwa wachangiaji

    Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF. NHIF ina changamoto kuu mbili 1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo. 2...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini. Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  12. King hustler

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

    Habari, Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
  13. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Daktari aliyefumua nyuzi za mgonjwa kisa hakuwa na hela ya kulipa kaletwa Hale, adhabu ya uhalifu ni kuhamishiwa kituo kipya?

    Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake. Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na kesi ya ajabu ya kumfumua nyuzi mgonjwa aliyemshona kisa alikosa hela ya kumlipa kwa muda ule, maana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya mechi. Kwa maoni yangu ninaona linaweza kuharibu umoja na mshikamano kwa wachezaji kwani kunaweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, elezeni ukweli kuwa watoto chini ya miaka 5 wanalipia huduma, kama sivyo kituo cha afya Kimara wawajibishwe kwa kutoza pesa na huduma mbovu

    Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa mtoto anaeleza mwanaye kaumia baada ya kuaguka wakati anacheza, dk bila hata kumgusa wala kumwangalia...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

    Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu. Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Wasalaam wakuu! Kwanza kabisa Nakubaliana na ushauri wote wakitabibu kuhusu aina sahihi ya chakula na namna nzuri ya ulaji kutoka kwa Daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo professor mohamed Yakub Janabi. Namimi baada yakumsikiliza na kuanza kufuatilia miongozo yake nikaamua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikwete agawa bima za afya kwa mabalozi Chalinze, asisitiza kuwapa kipaumbele

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila siku zinazofanywa na fursa zinazojitokeza ili kuwatambulishaU umuhimu wao katika kazi na ustawi wa...
  20. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa afya; mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza miili, je kuna madhara kiafya?

    Salamu waungwana. Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla. Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya? Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa...
Back
Top Bottom