Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,512
86,061
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.

Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?

Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.

IMG-20240301-WA0006.jpg
IMG-20240301-WA0005.jpg
IMG-20240301-WA0004.jpg
 
Ma
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.

Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?

Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.

View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
Mama anamwaga hela kwenye afya, tatizo liko wapi? Acheni uongo.
Cc faiza, Lucas
 
Hii ni hatari sana, Mungu atusaidie, hao serikali wanawaza matumbo yao tu na wakiumwa kidogo tu ni South Africa, India n.k
 
Kunahitajika "Diplomasia ya Uchumi"😅😌

...what a spectacle.

...haya ni matokeo ya ku copy and paste sheria na kanuni zitokazo nje ya maadili na utamaduni wa Mwafrika, monopoly, na ukosefu wa oversight.

Ina staajabisha kwa kweli
 
Serikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.

Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.

Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?

Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.

View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
Ai
 
Wamefeli kwenye upatikanaji wa sukari kwa zaidi ya mwezi.
Wamefeli kwenye kupanda holela kwa nauli
Wamefeli kwenye kukatika kwa umeme.
Wameona dawa bado haijawaingia watu wa Hali ya chini, wameleta hili la NHIF.
Wanatumia mbinu zote wasikubalike kwa wapiga kura.
 
Back
Top Bottom