Eti jaman chuo gani cha private chenye ada nafuu na bora kwa upande wa diploma ya medical laboratory . Ambacho mtu anaweza kumalizia diploma bila shida.
Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake.
Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma.
Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa:
Rushwa...
Habari,
Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake.
Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
By Godlisten Malisa
Kuanzia tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma. Kumbuka, takwimu zinaonesha zaidi ya 80% ya wagonjwa mahospitalini ni wanachama wa...
Approach walioichukua watoa huduma za afya binafsi inashangaza na kusikitisha.
Naona kabisa maslahi yakiwa na nguvu sana kuliko utu.
---
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzanja (Aphfta) kuhakikisha wanaheshimu leseni zao kwa kutoa...
Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana.
Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini mwisho wa siku afya za watanzania zinakwenda kupuputika vibaya.
Ni kweli NHIF inazilipa fedha nyingi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao.
Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao...
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi.
Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
Anonymous
Thread
afya
mbovu
nhif
ushauri
viongozi
waziri
waziri wa afya
wivu
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima.
Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia.
Waziri wa Afya hatujamsikia...
Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin.
Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF.
NHIF ina changamoto kuu mbili
1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo.
2...
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.