afya

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa waziri wa Afya Tanzania

    Naomba ummy Mwalimu ajibu Hili swali. Tunataka kujua tuna Nchi ya Tanzania na Zanzibar au nanna gani?. Cc Wizara ya Afya Tanzania
  2. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya kulinda afya yako ya mwili

    Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha. Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure, Kansa and the likes. Wakati tunakua huko kijijini hayo magonjwa walikuwa wanasema ni magonjwa ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda amuagiza Meya na Mkurugenzi Halmshauri ya Pangani kuhakikisha kituo cha afya cha mwenbeni kinajengwa - Pangani

    Karibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amewataka Mwenyekiti wa Halmashauri kushirikiana na Mkurugenzi kuhakikisha Kituo cha Afya cha Mwembeni kinajengwa na kuanza kutoa huduma kwa Wananchi ndani ya Mwaka huu wa 2024. Mwenezi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakumbushwa kufuatilia afya zao kama wanavyofuatilia mpira

    WANAUME WAKUMBUSHWA KUFUATILIA AFYA ZAO KAMA WANAVYOFUATILIA MPIRA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto kama wanavyofuatilia mechi za mataifa ya Africa AFCON2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
  8. Shining Light

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kundi la dini aliyekamatwa afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla

    Nairobi, Kenya. Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini na mpite mitaani, hali ya mazingira hairidhishi

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Asilimia 85 ya Wajawazito wanajifungulia katika vituo vya kutolea Huduma za Afya

    Moja ya kiashiria kikuu cha ubora wa Huduma za Afya ni kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya ambapo kwa Mwaka 2023 kimeongeka kwa 85% kutoka 81% Mwaka 2022. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Januari 10, 2024 wakati akitoa taarifa ya hali ya utoaji huduma...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa Wazee ni Muhimu sana tuwanze wazee wetu

    Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe. Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili. Tuwape upendo wazee wetu,
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

    Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika. Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?

    Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni. Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya mafuta na afya. Pamoja na mengi kwenye rafu unapokuwa dukani – kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni...
Back
Top Bottom