afya

  1. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Muungano: Dkt. Mpango na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize kinyemela!

    TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/vice-president-mpango-wants-more-cardiac-institutes-in-tanzania-4519784 Gazeti la la Tarehe 09/02/2024 linaripoti ufunguzi wa Mkutano wa maradhi yasiyoambukiza ikiwemo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama ukipewa ofa ya kuchagua miaka ya kuishi na mwenyezi Mungu, utachagua mingapi. Mimi 120

    Wasalaam. Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa. Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  5. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi bhana kutokana na iyo Hofu nilikuwa najikuta nakonda kweli na kuumwa hakuishi yaani nikiumwa tu...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  7. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wamiliki vituo binafsi watakiwa kusimamia ubora wa huduma za Afya

    Na WAF - DAR ES SALAM Bodi ya ushauri hospital binafsi PHAB yatoa rai kwa Wamiliki, Mashirika yanayomiliki vituo Binafsi kuhakikisha yanasimamia ubora wa huduma za Afya, kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo ya Wizara ya Afya. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu...
  8. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  9. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

    Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
  11. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

    Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao. Aisee tutunze afya zetu.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania Milioni 32 wamepata Chanjo ya COVID-19

    Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19 WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na asilimia 53 ya watanzania wote wamekamilisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19. Hayo yalibainishwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mikoa 17 ina Wagonjwa wa Red Eyes Tanzania

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika. Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern at Deloitte January, 2024

    Position: Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern About the program Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement the USAID Afya Yangu Southern Program. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je ratiba kama hii ina afya kwa timu husika ?

    Habari jf ,mfano hii ni Ratiba ya viporo ya Simba Sc ,Yanga nao ratiba tight .Kuna haja TFF ratiba zao kuzi review vizuri . Na hii hapa ni fixture ya Yanga. Tarehe 2/2 Kagera vs Yanga Tarehe 5/2 Yanga vs Dodoma Tarehe 8/2 Yanga vs Mashujaa Tarehe 11/2 Prisons vs Yanga
  16. Kizibo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na homa kali leo ni siku ya nne

    Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii. Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I. Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua. Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya Tunaomba mchunguze uwepo wa kunguni na mende wadogo kwenye mabasi ya abiria safari ndefu

    Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria. Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  19. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Afya ya Umma inaweza kudhoofishwa na uwepo wa Taarifa Potofu

    Taarifa potofu kwenye afya zinaweza kuwa na athari mbaya kwa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Watu wanaweza kufanya maamuzi mabaya ya kiafya ikiwa wanapata taarifa potofu. Wanaweza kujitibu kwa njia isiyo sahihi au kuepuka matibabu ya kisasa kwa kuzingatia habari isiyo sahihi. Mathlanani...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Walimu wanaosaidiwa katika masuala ya Afya ya Akili wanafaulisha zaidi Wanafunzi

    #AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu. Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
Back
Top Bottom