Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 7,923
- 13,406
Salamu waungwana.
Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla.
Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya?
Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa elimu kwa umma ikizingatiwa kumekuwepo ongezeko la juu la joto.
Kwa sasa kuna watu wanaamka usingizini wanakwenda kujimwagia maji baridi mwilini kisha wanarudi kulala, je hili ni sawa kweli kiafya?
Ahsanteni.