NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Screenshot_20240301-062117_1.jpg
 
Vituo Mbadala how wakati hizo Ndo almost hospital kubwa zenye huduma za kueleweka 😤😤😤.

Huu mgogoro NHIF mnaocreate ni sensitive kuliko chochote kile. Nimesoma hili tangazo ambacho sielewi mliwaza nini wakati mnadraft kitu cha aina hiyo na mmeondoa comment section kwenye page yenu acheni muone watu wanasema nini, mama anakuza demokrasia na uhuru wa kuzungumza hizo hospital mlizotaja kama kweli Ndo hizo hamjaelewana nazo kaeni muelewane tu.
 
Izo hospital zifutiwe vibari haraka sana
Kuna baadhi ya hospitali binafsi (tetesi zinasema) mkoani Tabora, kwasasa hazipokei waginjwa wanao tumia NHIF. Sababu kubwa ni kwamba hawaja lipwa kwa zaidi ya miezi tisa hadi sasa.

Je, hayo ndio yalikua makubaliano yao na NHIF?

Ama wakisitisha huduma, NHIF itawafungia biashara zao kwakua imeshikilia mpini (serikali)?
 
Huu ni ushahidi mwingine unaoondoa shaka ya kukosekana kwa akili kwenye hilo kasha juu ya shingo yako
Mzee tuliza pressure hii Tanzania ili uendane nayo lazima ujifanye mjinga mjinga maana kunamambo Yana umiza ukiishi kwenye uhalisia utaishia kuumia tu na hakuna kitakacho badirika na mimi nimechagua upande huo
 
Back
Top Bottom