Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Kinacho nishangaza ni kuwa utaona wanafunzi wengi wamevaa hijab lakini wakimaliza shule au vyuo idadi hiyo haionekani mtaani.

Je hii ni kwa sababu gani, ni kulazimishwa na wazazi, walezi na vyuo vya kiimani lakini wakitoka chini ya ulezi wa mamlaka hizo basi kina dada wanaacha kuvaa ndiyo maana hatuoni hijab hizo.

Hata maeneo ya pwani yetu Tanga, Bagamoyo, Kilwa, Lindi, Mtwara hatukutani na hijab nyingi miongoni mwa walio zaidi ya umri wa miaka 18 kama tuonavyo wakiwa chini ya ulezi mkali wa kitaasisi, kijumuiya na kifamilia wakiwa shule.

Je tamaduni zetu za asili za kiafrika miongoni mwa Wadigo, Wakwere, Wandegereko n.k zinaamini katika uhuru wa mtu mzima ndiyo maana zinazidi nguvu za kiimani ngeni hivyo wakifika miaka 18 na zaidi ruksa kujitafutia riziki halali, kucheza ngoma za asili, uhuru wa kutafakari, kuvaa mavazi wanayopenda, kujiburudisha kwa vinywaji, kuongoza vikundi vya burudani, kujiposti ktk mitandao n.k

Swali kuu je waafrika tuzikandamize na kuzidumaza mila, desturi na jadi zetu zote za kiafrika ili zifutike, na kukumbatia mambo mageni kutoka tamaduni ya mbali zilizovuka bahari kwa majahazi na merikebu.

KUTOKA MAKTABA :

Sheikh Mussa Kundecha mwanaharakati Tanzania asimulia umaamuma wa dini kwa wasomi wa kiislamu, imebidi tufanye kazi ya ziada ya elimu ya kidini kwa wasomi wetu

View: https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y&

Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu asimulia jinsi alivyopewa kesi ya mauaji baada ya kutoafikiana na Polisi waliolazimisha aongee mbele ya vyombo vya habari kituo cha Polisi awaombe Waislamu waliokuwa na mpango wa kuandamana wasifanye hivyo. ...

Wakati huo Polisi Dar es Salaam mkuu wa upelelezi mkoa ni RCO Abdallah Zombe anaongoza .... nikatupwa selo asubuhi mahakamani nikasomewa kesi ya mauaji ya watu wawili kwa risasi mmoja askari polisi na mwingine raia, kutoka hapo nikapelekwa rumande Segerea miezi 6 ....

Kuhusu siasa Sheikh Mussa Kundecha anasema huwezi tenganisha siasa na dini.

Upande wa elimu anaelezea umuhimu wa suala hilo ... nilisoma Tabora kisha kwenda nje Burundi, Kenya, Saudi Arabia kuongeza elimu nikarudi Tanzania nikafundisha Tabora, Arusha na Dar es Salaam mitaa wa Kiungi Magomeni pia Kinondoni Mkwajuni na msikiti wa Kichangani Magomeni.

Mihadhara ya MwembeChai iliyoshamiri kuanzia mwaka 1994 hadi 1997 jijini Dar es Salaam iliniletea matatizo miaka hiyo ikiongozwa na kina sheikh Mazinge na wengine ...

Pia nilifanya kazi ya kuunganisha waislamu ambao ni wasomi (professionals) wa elimu pana ya kisecular na masheikh wa wanaotoa elimu ya dini, kwani makundi haya mawili yaani professionals wa kiislamu waliona masheikh wao hawana ufahamu wa masomo ya elimu ya secular huku pia masheikh wakiona waislamu wasomi kuwa hawana ufahamu wa dini yao.

Harakati hizi zimeleta mafanikio kuna misikiti zaidi ya 3,000 na huku kuna shule zaidi ya 300 za waislamu kutokana na kuunganisha nguvu za waislamu ....

Mussa Kundecha anaulizwa sheikh ni nani hasa ... pamoja ya kuwa sheikh ni kama inatumika kuonesha kuwa ni mtu mzima isipokuwa katika utaratibu ....

Sheikh Mussa Kundecha akiangalia mbele kuhusu kupata elimu ya dini, anashukuru kuwa mazingira yanazidi kuwa mazuri vitabu vipo vingi tofauti na zamani hapa Tanzania kilikuwapo kitabu kimoja cha Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy .. sasa kuna vingi zaidi ...

Kuhusu BAKWATA - Baraza Kuu La Waislamu Tanzania kutokubaliwa na baadhi ya waislamu, Sheikh Mussa Kundecha anasema kila mmoja ana nafasi yake hivyo ...

Wateja wengi wa Islamic Banking Tanzania ni wale wasio waislamu na wamewapita kwa idadi kubwa huku waislamu wakiwa wachache hivyo ni jambo jema la kijamii kwa wasio waislamu kuwa wengi sana kwa idadi ktk Benki za Kiislamu ...anabainisha Sheikh Kundecha..
 
Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Vyuoni hulazimisha kuvaa hadi wakati wa mtihani kwani huficha vibomu na wengine hufanyiwa mtihani hususani wavaa Juba au nikabu zile zinazoficha hadi sura. Nilimshuhudia mmoja SUA 2006 nilipokuwa nasoma pale.

Nje ya mada, huyo kwenye picha ya mleta uzi ndio mleta uzi mwenyewe au?
 
Pumbavu kabsaa chuo cha kanisa mnaleta Mambo yenu ya kiislam mpeleke MUM kule morogoro
Mbona pale MUM mnalazimisha kila msichana kuvaa hijab?
Chuo hakitak hayo mango basi tafuta chuo kingine
Mijitu mijinga
😃😁😀
 
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
statue-maria-jesus-hold-thai-church-34522085.jpg
 
Back
Top Bottom