Fredie Blom's identity documents showed he was born in Eastern Cape province in May 1904, although that was never verified by Guinness World Records.
When he was teenager, his entire family was wiped out by the 1918 Spanish flu pandemic. He went on to survive two world wars and apartheid.
Mr...
Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania?
Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona.
Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.
Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80.
Mhe. Majaliwa aliyasema hayo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa...
Habari Wakuu,
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa MUNGU muweza wa yote kwa kuwa hapa muda huu na kushare na nyinyi mawazo haya.
Vijana wenzangu sisi ndio tupo wengi katika nchi zetu hususani Tanzania hivyo basi kama tukiamua kuchukua hatua yoyote ile ya kimaendeleo tunaweza kufanikiwa sana...
Ndugu zangu,
Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.
Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu...
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures.
President Cyril Ramaphosa said nearly all restrictions on the country's economy will be eased from Monday.
A controversial ban on the sale...
Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa...
1. Usimdharau Mpinzani wako
2. Usijiamini sana
3. Utajiri wako si mali kitu
4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani
5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu
6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha
7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza...
Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu.
1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini.
2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda.
CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania pekee ndiyo yenye treni ya aina ya SGR inayoendeshwa kwa umeme.
Wengine wanayo, lakini inaendeshwa kwa makaa ya mawe.
Kwa maelezo zaidi ona video hapo chini.
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.
Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika imezidi milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za chuo kikuu cha Johns Hopkins, lakini bara hilo linaonekana kuwa na mlipuko mkubwa zaidi.
Nusu ya maambukizi yanatoka katika nchi moja tu, Afrika Kusini.
Kuna kiwango kidogo cha upimaji katika...
“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
Wakati mvutano kati ya China ukiendelea kutokea, bara la Afrika linatajwa kuwa uwanja mpya unaotumiwa na Marekani kuishambulia China. Marekani imekuwa ikishambulia nakukosoa ushirikiano kati ya China na Afrika, na kujaribu kutumia fursa mbalimbali kuupaka matope ushirikiano kati ya China na...
Siku zote tunawakumbushia humu, siri ya Wakenya ni kujituma, hatuna madini ila tunaongoza kwenye kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo.
Uganda wamejitutumua na Makerere yao, ila Tanzania bandugu wa kusini aka 'walalamikaji' sijui wako namba ngapi au hata kama wana habari za haya mambo, wao...
The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru.
Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii kwanza: Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za...
Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili.
Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.