afrika

  1. MK254

    Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

    Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka. Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia...
  2. Mystery

    Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
  3. B

    Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

    Moja kwa moja kwenye mada. Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu. Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya. Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo. Marekani ya Trump sasa...
  4. K

    Virusi vya Corona: Watu 572 wapoteza maisha Afrika Kusini kwa saa 24 zilizopita

    It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world. We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit. Probably more people move from China to the US in a week...
  5. Infantry Soldier

    AFRIKA BARA GIZA: Were there xenophobic attacks against black foreigners or just diplomatic and political standoff between South Africa and Nigeria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania eti; Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH...
  6. FrankLutazamba

    Corona Afrika ya Kusini, Marekani na Ulaya ilishaisha, wanatishia ili watu wasiende (ni uchoyo hawataki wageni)

    Nimeshtuka, Wazungu ni wajanja, wanatuzuga wana Corona kumbe haipo kwa kiwango kinachotangazwa, ili tu wahamiaji wakate tamaa, ukweli ni kwamba Corona ilishaisha mfano hai watu waliandamana kwa maelfu lakini hakuna aliyekufa, Wazungu fungueni mipaka tuje. Asante.
  7. Analogia Malenga

    Mahakama ya Afrika, yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais

    Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
  8. Civilian Coin

    Nashauri Chama tawala Afrika Kusini (ANC) kibadili jina liwe (ACA)

    THINKING ON SOUTH AFRICA CHANGES by DON NALIMISON. Changing a name of Rulling Political Party AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) to be ARENA FOR CORRECTION OF AFRICA(ACA). I DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Advisor, I am in thinking to help South Africa Nation to make...
  9. Miss Zomboko

    Afrika Kusini kurejesha masharti ya kutokutoka nje. Uuzaji wa pombe kupigwa marufuku

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje usiku Hii alisema ni katika juhudi za kupunguza misongamano ya majeruhi, inayoshuhudiwa kwenye...
  10. J

    Membe: Viongozi wa Afrika hawaoni shida kusema wameshinda kwa 100%

    Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani. Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi...
  11. Civilian Coin

    Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

    DON NALIMISON, I DECIDED TO LEAVE AFRICAN POLITICS FOR THE PURPOSE OF BULDING NEW AMERICAN(U.S.A). I was a Politician in Africa in Tanzania for many years for nothing without gaining support for changing African Continent thinking capacity. Africans in Africa do not need changes only they need...
  12. Civilian Coin

    Pro. Nderakindo Kessy bado ni mhimu sana Afrika Mashariki

    Hon. Professor PERPETUA NDERAKINDO KESSY. The only WOMAN in East African Countries who was EALA Parliament Member to whom I can not forget her Legacy and her Credibility in Building New Society.Live long mama.@DON NALIMISON.
  13. MIMI BABA YENU

    Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
  14. Samedi Amba

    Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  15. J

    Mkataba wa Haki za Binadamu na haki za watu wa Umoja wa Afrika (Mkataba wa Afrika)

    Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
  16. Bishop Hiluka

    Nchi 10 kati ya 54 za Afrika na 72.19% ya GDP, bado tuna safari ndefu

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa uchumi wa nchi za Afrika unaendelea kuwa imara; ukuaji halisi unaongezeka, ikiashiria uwepo wa sera madhubuti za uchumi jumla, maendeleo mazuri katika maboresho ya miundo (hususan katika uboreshaji wa miundombinu), na mifumo ya sera nzuri na madhubuti kiujumla...
  17. J

    Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  18. Yoyo Zhou

    Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  19. MK254

    Hii ngoma ndio kama inaanza bandugu, Afrika Kusini wagonjwa 9,064 kwa siku

    Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa siku. ===== South Africa has announced another record daily number of confirmed...
  20. Bess

    Sababu ya umaskini Afrika sasa ni dhahiri

    Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima) • Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni...
Back
Top Bottom