Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC?
PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake.
Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma Mwapachu alikiita kipindi hicho "a decade-long search for a song that East Africans would call their own"...
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
Wewe kila mahala ilikuwa inaimbwa tu kuwa Miss Werasaki a.k.a Tidoki Njoo Uketi ni Chakula Kubwa kabisa ya Kimahaba ya Mkemia aliyefuzu Ukemia wake Mlimani Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Kuipata Doctorate yake huko nchini Ujerumani halafu na Wewe kwa Tamaa zako za Nyege zako Mshindo...
“ Nina shida na mteule wangu hapa, DAS,zipo tuhuma kuwa anachukua wake za watu, nimemuonya huko nyuma nafikiri hakunisikia, Mhe.Jaffo ebu kamwambie waziri Mhe.Mkuchika sasa huyu kazi ya U DAS nimeitengua leo,mtafutieni kazi ya chini na asifanye hapa ”Rais Dkt.Magufuli.
Chanzo: ITV Tanzania...
George Floyd
Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati.
Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
Serikali ya Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya Madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea ili fedha hizo ziweze kutumika kupambana na athari zilizotokana na Covid - 19.
Ombi hilo limetolewa na Waziri wa Mambo...
Miezi miwili iliyopita wakati ugonjwa wa Covid-19 uliposhika kasi nchini China na baadaye Ulaya na Marekani, wataalamu wa magonjwa walijaribu kutabiri mahali gani kwengine COVID-19 itaangamiza zaidi
Wengi walifikiri Afrika itakuwa eneo linalofuata kuwa na hatari kubwa, lakini baada ya kufika...
Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa
Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
Afrika kusini imeanzisha majaribio ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona barani Afrika wiki hii, chuo kikuu kinachoongoza hatua hiyo kimesema leo, wakati nchi hiyo ikikabiliana na idadi ya juu ya kesi za maambukizi barani Afrika. Chanjo, iliyotengenezwa na taasisi ya Oxford Jenner, tayari...
Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa Bi Jacquline Musiitwa amesema, maambukizi ya virusi vya Corona yameathiri vibaya uchumi na biashara za Afrika, huku thamani za sarafu za nchi nyingi za Afrika zikishuhudiwa kuporomoka zaidi.
Amezihimiza nchi za Afrika kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi...
Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa kuanzia Januari 2021, Kenya itarejesha uwepo wake utakaodumu kwa miaka miwili katika asasi hiyo ya...
NAIROBI, Kenya
RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, amesema kwamba bado anaunga mkono juhudi za kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki licha ya changamoto zilizopo na kukiri kuwa moja ya vizingiti vikubwa katika mchakato huo “ni hali ya kutoaminiana.”
Kenyatta aliyasema hayo wakati ambapo nchi za...
Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika, yaani chini ya wiki mbili tayari kimelamba watu 800 nchini Afrika Kusini.
-----
COVID-19, the...
Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu.
Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa...
Kwa takribani miaka 27 Nelson Mandela (Tata/Madiba) amekuwa gerezani Hadi mwaka 1990 alipoachiwa.
Hadi kufikia mwaka 1990 nchi zote za kiafrika zilikuwa zimepata Uhuru kutoka kwa wakoloni. Ikumbukwe Afrika Kusini ilipata Uhuru wake mnamo 1931, mwaka 1994 haukuwa mwaka wa kupata Uhuru kwa Afrika...
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine.
Chanzo: swahilitimes...
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya.
Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu,
Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana...
Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake.
Katika familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.