YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa
Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki
Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda
Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi Tanzania uchaguzi wa 2005
Raisi wa Liberia George Weah alikuwa mcheza mpira nk
Swali ni je Africa tumeishiwa vichwa vya wasomi wabobezi na wataalamu wabobezi wa kugombea uraisi ? Ni nini kimetokea hadi hali hii inajitokeza?