Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu
Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia...
Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo.
WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetics...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini...
Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
Shirika la Kimataifa la Kuhughulikia Wakimbizi (UNHCR) limetoa madhara ya machafuko yanayoendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo yakiendelea yatawaweka makumi elfu ya watu katika hali mbaya
Hali ilivyo sasa ni kuwa zaidi ya watu 200,000 wamehama makazi yao, ambapo watu 92,000 wamezifikia...
Ndiyo!
Afrika dhidi ya nchi zilizoendelea ni sawa na wanawake dhidi ya wanaume. Wanawake wana kauli mbiu nyingi, ikiwemo Ile ya "wanawake tunaweza''. Sawasawa na Waafrika.
Kwa nini?
Kila siku waafrika wanajigamba, "sisi tunaweza, sisi ni matajiri" lakini nchi zilizoendelea wao wametulia tu...
Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi.
Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira Ghandi (RIP) alitembelea Tanzania akiwa ndani ya vazi la Sari. Sijawahi kumuona mama huyu enzi za...
Jamhuri ya Afrika ya Kati imesema majeshi yake yamewaua waasi 44 wanaopambana kutaka kuuzingira mji mkuu Bangui, kwa lengo la kuupindua utawala wa rais aliyechaguliwa tena hivi karibuni Faustin Archange Touadera.
Siku ya Jumatatu serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliandika katika mtandao...
Afrika Kusini inatarajiwa kununua dozi za chanjo ya virusi vya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa bei mara mbili na nusu zaidi ya nchi nyingi za Ulaya.
Afrika Kusini ndiyo nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya COVID-19 barani Afrika, inatarajiwa kupokea dozi milioni 1.5 za virusi vya corona...
Mtanzania Dkt. Joyce Singano, amekuwa mwafrika wa kwanza kupata Brady Medal inayotolewa kwa wataalam watafiti wa miamba.
Dkt. Singano anafanya kazi Shirika la Maendeleo ya Mafuta Tanzania (TPDC) ambapo alitengeneza maabara yake mwenyewe tangu mwanzo.
Hadi hivi sasa Dkt. Singano ana machapisho...
Mahakama ya kimataifa ya jinai ya ICC, Jumapili imesema kuwa imemtia mbaroni aliyekuwa kamanda wa kundi la uasi la Seleka huko Jamhuri ya Afrika ya Kati linaloshukiwa kutekeleza juhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, ICC imesema kuwa Mahamat...
INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia.
Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe kama hujaridhika ongea na Mwakalebela umpe hela aka file malalamiko CAS au ongea na waandaaji wa kombe...
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao.
Na...
Kusema kweli wengi duniani wameshituka sana kuona mtu aliyechaguliwa kua waziri na biden kijana mrembo fulani hivi akimtambulisha mwanamume mwingine bila hata aibu kama mumewe.😩😩
Nilifikiri labda biden aliyefungisha ndoa ya mashoga ofisini kwake alipokua makamu wa rais huenda atawastahi...
Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
AFRIKA KIPIGO CHA MBWA KOKO HAKIEPUKIKI.
Na, Robert Heriel
Leo sina maneno mengi kama wengi wasivyotaka makala ndefu.
Haya twende sasa.
Kipigo cha mbwa koko Afrika hakiepukiki maadam umezaliwa Afrika na wewe ni Muafrika.
Ukiwa tumboni mwa mama yako apapaswa na kichapo ambacho anapigwa Mama...
Miundo mbinu ya reli ikiwemo stesheni za reli, nyaya za umeme , hata lifti ktk majengo ya stesheni za reli nchini Afrika ya Kusini imekwapuliwa na vibaka waliowasili wakiwa na malori hivyo kufanya uharibifu mkubwa kwa mtandao wa reli wa Afrika ya Kusini ambao umekuwa ukitiliwa mfano na kutajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.