Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

Headcorner

Senior Member
Nov 26, 2020
188
277
Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
 
Kazi ipo
 

Attachments

  • IMG-20210108-WA0078.jpg
    IMG-20210108-WA0078.jpg
    50.1 KB · Views: 2
Simba tumeingia robo fainali tayari hapo wa kututisha ni Al ahyl pekee
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Back
Top Bottom