Search results

  1. khomgodlove

    Digitali hii ni hatari kwa jamii yetu

    Mitandao ambayo tunaitumia kujingizia kipato kwa Vijana wengi siyo ya hapa nchini ni ya wenzetu huko majuu, sasa ikitokea shida ni lazima kuwe na remote solution ambayo ni ngumu kusaidiwa haraka kutokana na ucentralized wake, mfano : watu wamewekeza kwenye YOUTUBE CHANNEL lakini account inaweza...
  2. khomgodlove

    Tangazo la nafasi 123 za kazi Wizara ya Afya (MOH)

    Wizara ya Afya (MOH) kupitia Ruzuku ya Mfuko wa Kimataifa (GF) inatafuta watu binafsi wenye ari, wabunifu na wenye nguvu ambao watafanya kazi chini ya , 2026) makubaliano ya kimkataba kujaza nafasi 123 zilizoachwa wazi.
  3. khomgodlove

    Sasa YouTubemusic na YouTube Premium kupatikana Kenya

    YouTube leo imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. --- YouTube imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. Upanuzi huu unaashiria hatua muhimu katika kujitolea kwa YouTube kutoa burudani iliyoboreshwa kwa watumiaji katika...
  4. khomgodlove

    Tunatoa huduma za Graphics design

    Kwa wale wanapenda kutumia business card kwenye Biashara zao. Tupo kwa bei rahisi kabisa tuna design tunapanga tunatuma soft copy unaprint kwa bei chee kwenye machimbo yako! Karibu Sana namba zipo kwenye poster hapo.
  5. khomgodlove

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  6. khomgodlove

    Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  7. khomgodlove

    Badirisha Pdf Kuwa word

    Kama bado hujajua kubairisha pdf kuwa word fuata Hatua hizi ni rahisi sana Note: Hakikisha una Microsoft 2013......2021
  8. khomgodlove

    Kwa wapenda muziki /waimba muziki

    Dogo Huyu ni hatari anatengeneza midundo mizuri sana kizuri ni kwamba anatemgeneza na kuuza kwa bei rahisi. Msikikize hapa moja ya mdundo wake kabisa Link hii hapa:
  9. khomgodlove

    Sally kafanana na Hamisa Mobetto

    Binti ambaye anajihusisha na mitinido. Na fasheni ukimuangalia vizuri kafanana sana na mwanamuziki mwana mitindo anasema anashangaa kwanni wanamfananisha na Hamisa misikilize hapa akihojiwa>>
  10. khomgodlove

    MTU MMOJA AMEMEZA KISU KISA MAZINGAOMBWE.

    Ulimwengu wa ajabu sana watu wanafanya maajabu pia ili kujipatia kipato, yawe ya kweli au ya uongo ilimradi tu wapate chochote mkononi kiende kinywani , sasa huyu jamaa nchi za wenzetu ameonesha akimeza kisu mitaani ili kufanya watu wafurahi na mazingaombwe yake zaidi nimekuekea link hapa.
  11. khomgodlove

    Hofu hudhoofisha maono yako

    Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu ndugu, walijua fika kuwa kifo ni halali yake. Lakini kutokana na kudra za mwenyezi , wazazi waliamua...
  12. khomgodlove

    Mifuko ilotengenzwa kwa mihogo

    Baada ya kufungia mifuko ya plastiki mifuko ya ilotengenezwa kwa karatasi na nguo imeanza kuchukua nafasi huku wajasi wakiikimbilia fursa ili kuongeza kipato chao . Lakini katika nchi za wenzetu huko majuu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo mifuko hii ni mizuri kwa mazingira lakini kwa njaa...
  13. khomgodlove

    SIMU ZA HUAWEI TUNATUPA??

    Wadau hivi sisi watumiaji wa huawei tunatakiwa tutupe simu ? Baada google kutowapa huduma ?
  14. khomgodlove

    MIFUKO ILIYOTENGENEZWA KWA MIHOGO

    Huko Indonesia watalaamu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo ili kuokoa mazingira ,mifuko hiyo unaweza kuloweka kwenye maji na ukaunywa kama juice kwa taarifa zaidii.....>>>
  15. khomgodlove

    Wasio na ajira kulipwa zaidi ya shilingi milioni moja kila mwezi

    Nchi ya finland imeanza kujaribu wazo la kulipa ama kuwapa hela kila mwezi watu wasio na ajira kama motisha waweze kutafuta kazi ,world economic forum wanasema ndo nchi ya kwanza ulaya kujaribu mfumo huo...zaidi bonyeza link Sent using Jamii Forums mobile app
  16. khomgodlove

    INSTAGRAM IMEPATA HITILAFU

    Mapema hivi leo instagram ilipata hitilafu ,Tatizo limetatuliwa kwa mujibu wa uongozi wa mtandao huo Maeneo yaliyoathirika ni uingereza ,ulaya na Marekani. >>>>> INSTAGRAM IMEPATA HITILAFU LEO ASUBUHI (kwa mujibu wa Hindi Standard Time (IST)) INSTAGRAM IMEPATA HITILAFU LEO ASUBUHI (kwa mujibu...
  17. khomgodlove

    Ubungo Terminal mpya

    CHINA inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Stendi Kuu ya sasa ya Mabasi ya Ubungo, Dar es Salaam kuanzia mwezi huu, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za biashara na mahitaji ya nyumbani. Kwa Picha bonyeza link hyo Screenshoti: UBUNGO MPYA Sent using Jamii...
  18. khomgodlove

    Mwezi kutumika Taa badala ya Taa za barabarani

    Ukuwaji wa teknolojia unazidi kurahisisha mambo wachina sasa kugundua /kutengeneza mwezi utakao tumika kama taa za barabarani >
  19. khomgodlove

    Mikoa itakayofikiwa tembelewa na wasafi festival

    Baada ya uzinduzi Mtwara sasa Mkurugenzi wa WCB > Screenshoti: RATIBA YA WASAFIFESTIVAL.HII HaPa
  20. khomgodlove

    Kuinyoshea kidole radio moja eti wanyonyaji ni sawa??

    Wadau mnaojua haka kamchezo kanaendaje mtueleze baada hivi karibuni kumekuwepo kwa lawama nyingi sana kwa radio moja eti inanyonya ilikuwa inanyonya ni kweli kwamba kwingine kupo sawa au ni bendera kufata upepo, wanajamii tuambizane jamani anaejua kidogo namna gani inawanyonya na kwanni na ni nani?
Back
Top Bottom