Digitali hii ni hatari kwa jamii yetu

khomgodlove

Member
Nov 17, 2018
33
22
Mitandao ambayo tunaitumia kujingizia kipato kwa Vijana wengi siyo ya hapa nchini ni ya wenzetu huko majuu, sasa ikitokea shida ni lazima kuwe na remote solution ambayo ni ngumu kusaidiwa haraka kutokana na ucentralized wake, mfano : watu wamewekeza kwenye YOUTUBE CHANNEL lakini account inaweza kuwa terminated muda wowote kwa kisingizio cha kukosea masharti na hakuna njia nyingine ya KUSOLVE haraka zaidi ya kusolve kwa mfumo wao, fikiria ndio inaendesha maisha yako hutowrza kupata zaidi ya miezi 3 ukiwa na bahati ama la sivyo uanze upya kukusanya vigezo vya kulipwa.

Sasa Mtandao unaajiri wengi sana vijana Tujaribu kutafuta mbinu mbadala ya kukabiliana hili ili siku waakizima vyao sisi tuendelee kupata vyetu pia, isije tukategemea mtandao tukaanza kendelea wakaona waka tingisha dishi badi over tunaanza upya.

Mliofanikiwa kwenye mtandao jitahidini pia kuwekeza kwenye physical things kama kilimo na mengineyo ambayo hayahusiani na mtandao moja kwa moja

Ni rai yangu kwamba tutumie mitandao ila isitulevye, siku ikizimwa watu wataumwa, maana siku hizi kwenye bar, daladala, kahaw kila mtu anabonyeza simu yake huyu Yuko YouTube huyu facebook, huyu WhatsApp sio kama zamani siku hizi ni mtu na rafiki yake ni mtandao.
20240222_192756.jpg
 
huyo atakaezima mtandao nayeye atakuwa ameingia hasara, so hata mtandao halotel ukizimwa sisi tunaendelea na airtel, au kama mtandao wa youtube ukizimwa sisi tutaelea na tiktok, au wakiamua kuzima yote sisi watu wa mwanza tutakula ugali furu na maisha yatasonga tu.
 
Back
Top Bottom