khomgodlove
Member
- Nov 17, 2018
- 33
- 22
Wadau hivi sisi watumiaji wa huawei tunatakiwa tutupe simu ? Baada google kutowapa huduma ?
UzaWadau hivi sisi watumiaji wa huawei tunatakiwa tutupe simu ? Baada google kutowapa huduma ?
Peleka kijijini huko hawana matumizi mengi na makubwa kama wa mjini nyie.Hahha atanunua nini akaweke ndani