Kuinyoshea kidole radio moja eti wanyonyaji ni sawa??

khomgodlove

Member
Nov 17, 2018
33
22
Wadau mnaojua haka kamchezo kanaendaje mtueleze baada hivi karibuni kumekuwepo kwa lawama nyingi sana kwa radio moja eti inanyonya ilikuwa inanyonya ni kweli kwamba kwingine kupo sawa au ni bendera kufata upepo, wanajamii tuambizane jamani anaejua kidogo namna gani inawanyonya na kwanni na ni nani?
 
Mkuu pasipo kuwa na uteam wowote.... Unajua mtu ukiwa peke ako katika tasnia unauwezo wa kufanya chochote Haswa kwa hawa wasanii, maana wanategemea show wapate kidogo kitu na waendelee kittens hivyo huwa wanaonewa pia kwa kupunjwa malipo yao kwakuwa hakuna anaechallenge ila sasa ukimlipa msanii kidogo utaona yupo upande wa police.... hapo bado Majizo hajaandaa kitu kipya chenye kuchallenge zaidi pia East Africa radio nao hawajaandaa mzigo wa kuchallenge.... Patakuwa patamu sana na wasanii watapata kulingana na jasho lao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom