Ubungo Terminal mpya

Ubungo Terminal mpya

khomgodlove

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
33
Reaction score
22
CHINA inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Stendi Kuu ya sasa ya Mabasi ya Ubungo, Dar es Salaam kuanzia mwezi huu, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za biashara na mahitaji ya nyumbani. Kwa Picha bonyeza link hyo
Screenshoti: UBUNGO MPYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sehemu ya maegesho ni ndogo kuliko mbwembwe zingine
 
Back
Top Bottom