khomgodlove
Member
- Nov 17, 2018
- 33
- 22
Ulimwengu wa ajabu sana watu wanafanya maajabu pia ili kujipatia kipato, yawe ya kweli au ya uongo ilimradi tu wapate chochote mkononi kiende kinywani , sasa huyu jamaa nchi za wenzetu ameonesha akimeza kisu mitaani ili kufanya watu wafurahi na mazingaombwe yake zaidi nimekuekea link hapa.