Search results

  1. Dumelang

    Magari toka China

    Wadau tujadili magari ya mchina naona soko lake hatujalichangamkia lakini hawa jamaa wana gari nzuri sana, zingine kama vipanya tu kuanzia 2500 usd, lakini wana SUVs unapata kwa bei simple tu, nilikiwa nacheki usd 12000 nakuendelea unaweza pata gari 0km Kwanini hatumwamini mchina wakati kwasasa...
  2. Dumelang

    Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
  3. Dumelang

    Wasanii walivyoboronga nyimbo za maombolezo

    Nimesikiliza nyimbo za maombolezo za msiba wa John Pombe Magufuli zaidi ya 100 Msanii wa pekee alieweza tengeneza HIT ni PETER MSECHU. Katoa melody (ala) ya pekee na mashairi safi yanafariji, yanaenzi pia, yanaburudisha, yanatia moyo, yana enzi. Haihtaji kuimba kwa huzuniiii kama unalia ndio...
  4. Dumelang

    Imefika wakati wa kuilinda nchi yetu na Katiba yake kwa wivu kabisa

    Siasa za CCM na CHADEMA, siasa za Vyama zisiwe sababu ya kuinajisi nchi hii. Nchi hii sio ya MBOWE wala ya NDUGAI, nchi hii ni yetu Watanzania. Hapa Tanzania ni kwetu hatuna pengine pakupaita Nyumbani isipokuwa hapa, Tanzania. Leo Job Ndugai anaongea hadharani bila kupepesa kuwa atainajisi...
  5. Dumelang

    Hakuna kitu kinaitwa "plate number" Dunia hii

    Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari Hii inaitwa Number plate Yani kibao cha namba, Kusema plate number ni sawa nakusema Here come, badala ya come here au people black badala ya black people, au trailer Car badala ya Car trailer Kwingine, yani nchi...
  6. Dumelang

    MAREKANI: Wataalamu wahusisha nchi zenye chanjo ya BCG na maambukizi machache ya Corona

    Habari inayoenea kwa sasa katika mitandao na vyombo habari ni utafiti wa awali uliofanywa na NYIT (New York Institute of Technology) unaoonesha nchi zenye chanjo ya lazima dhidi ya Magonjwa ya kifua kikuu TB ya BCG zimekuwa na maambukizi machache ya virus vya corona na pengine watafiti kuhisi...
  7. Dumelang

    Mwenye Noah ya kukodisha tuwasiliane

    Natafuta noah ya kukodi, iwe dar es salaam. Itafanya kazi ya kubeba wanafunzi tu wa chekechea tu asubuhi na Mchana. Itafanya kazi siku 5 tu za wiki na wikiendi inakuwa free. Mkataba wa malipo tutakubaliana. Ingia inbox. Ntakupa namba za simu tuyajenge. Dumelang
  8. Dumelang

    Kuna tatizo gani TRA kwenye EXIGA

    Subaru Exiga, Hizi ni gari zilizotolewa kuanzia mwaka 2008. Ni gari nzuri kwa familia kwakweli, Tangu mwaka juzi nimekuwa nikiangalia Kodi yake kwenye calculator ya TRA, kodi haipungui mil 20 huku wakikadria ina CIF ya USD 8000 Ukweli wa gari hii zimejaa kwenye web za mauzo ya magari ya...
  9. Dumelang

    Muhongo kaondoka, Mgao wa umeme umeanza

    Ni kitambo kwakweli sijaona mgao wa umeme au kukatikakatika, mvua, kiangazi masika, umeme Tanzania kidogo ulikiwa stable kuliko miaka miwili Nyuma Saizi mgao umeanza, kea wikiara tatu hakuna umeme siku nzima. Watu kadhaa wameniambia wana mgao mikoa tofauti tofauti. Swali ni Je Muhongo kaondoka...
  10. Dumelang

    Kubadilishana kituo cha kazi idara Sekondari

    Delete this Moderator haina umuhimu tena
  11. Dumelang

    Ushauri kwa gari hili kama unalifahamu

    Katika tafta tafta ya gari dogo zuri na katika mitandao ya magari Japan, nimekutana na gari dogo, zuri na nikalipenda linatengenezwa na Mitusubish, linaitwa Mirage. Mitusubish mirage, ina cc 990 na 1000 ni compact, na inasifiwa sana kwenye fuel efficiency. Bei yake bado ni ya moto kwa...
  12. Dumelang

    Rais Magufuli usishindane na Wananchi

    Nianze na tafsiri ya wananchi, kwa ufupi hawa ni wakazi wazawa (native) wa nchi husika. Katika nchi za demokrasia, Tanzania ikiwemo, utawala wa demokrasia ni utawala wa watu kwaajili ya watu wenyewe. Rais anapewa mamlaka na nguvu na watu kuwaongoza watu husika. Rais John pombe pengine hajui...
  13. Dumelang

    Njia rahisi ya kufika nchi yoyote Duniani

    Utafutaji wa Watanzania kwenda ulaya au nje ya nchi kutafuta maisha umekua kwa kasi sana hivi sasa. Thread nyingi sasa hapa JF zina watu wanaotafta kufika nchi walizodhamiria wakati mwingine wasijue watafikaje, tabu kubwa ni pakufikia na kupata mwenyeji. Leo nitasaidia kwa upande wangu katika...
  14. Dumelang

    Mkutano Mkubwa wa Injili Nyumbani mwako

    Mkutano mkubwa wa injili unarushwa kwa TV na Radio na YouTube kutoka mwanza na unakufikia unakufikia nyumbani kwako moja kwa moja <live> au Mubashara kila siku kuanzia saa 11:30 jioni mpaka saa 2:00 usiku Mahubiri haya yanarushwa Afrika nzima kupitia satellite, Tanzania kwa radio na Youtube...
  15. Dumelang

    Tukubali tukatae Paul Makonda anajua anachokifanya

    Wapo wanaobeza juhudi au njia anazotumia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa hatua alizochukua kwa wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya. Wapo wanaosema amewakosea haki, wapo wanaosema anatuhumu bila ishahidi wapo walioungana ma Nnape Nauye kulinda brand za watu n.k Kwa tafakari pata. Makonda si...
  16. Dumelang

    Mfahamu Mmiliki na Mwanzilishi Wa simu za Tecno na Infinix

    Siku zote lipo tumaini katika hali yeyote mtu anayokutana nayo Maishani. Umasikini au hali ngumu ya Maisha sio vitu anavyodumu navyo mtu siku zote. Nnamdi Ezeigbo, ndie Mwanzilishi na mtendaji mkuu (CEO) wa kampuni maarufu ya Slot System Limited na pia Mwanzilishi mwenza wa (Co-founder)wa...
  17. Dumelang

    Shinda Gari kutoka Carfromjapan

    Carfromjapan wanaendesha bahati nasibu ya jishindie gari kwa muda wa miezi 12. Droo ya kwanza ni mwezi wa pili tarehe 20 gari mbili kutolewa kila mwezi na gari 4 kila baada ya miezi 3 Huitaji kununua chochote, unajisajili, unapendekeza gari unalopenda kushinda, subiri droo. Ingia hapa CAR...
  18. Dumelang

    Rais hukuahidi tetemeko, Laptop je?

    Hivi karibuni Rais mpendwa na mtukufu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania aliwambia Wananchi na wakazi wa Bukoba waliokumbwa na tetemeko la ardhi kuwa serikali haitawajengea nyumba kwakuwa haikuleta tetemeko Akisisitiza msimamo wake huyo rais aliwauliza wananchi "Nilipokuja kuomba kura nilisema...
  19. Dumelang

    Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Inasikitisha, kwa hakika na Elimu sasa inakufa. Baada ya mitihani ya kidato cha nne, leo mitihani ya kidato cha pili inaanza tarehe 14/11/2016 Kwa kawaida mitihani hii walimu ulipwa posho ya usimamizi, semina na nauli ya kuja kwenye semina. Aghalabu semina na nauli huwa ni wastani wa elfu 30...
  20. Dumelang

    Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    Ukitaka kujua kunya anye kuku akinya bata kahalisha basi chukua tukio hili linalovuma sasa nchini kuhusu walimu mafunzoni waliomuadhibu mwanafunzi huko mbeya Kila mtu anasema lake kila raia anasema lake kisa kuna jina mwalimu, nauona ukandamizaji na udhalilishaji, hili si kubwa kuliko mengine...
Back
Top Bottom