Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,273
- 5,935
Ni kitambo kwakweli sijaona mgao wa umeme au kukatikakatika, mvua, kiangazi masika, umeme Tanzania kidogo ulikiwa stable kuliko miaka miwili Nyuma
Saizi mgao umeanza, kea wikiara tatu hakuna umeme siku nzima. Watu kadhaa wameniambia wana mgao mikoa tofauti tofauti. Swali ni Je Muhongo kaondoka Mugao umeanza?