Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,203
- 5,704
Katika tafta tafta ya gari dogo zuri na katika mitandao ya magari Japan, nimekutana na gari dogo, zuri na nikalipenda linatengenezwa na Mitusubish, linaitwa Mirage.
Mitusubish mirage, ina cc 990 na 1000 ni compact, na inasifiwa sana kwenye fuel efficiency.
Bei yake bado ni ya moto kwa website nyingi ya bei ndogo kabisa mwaka 2012/2013 ni usd 2000 FOB
Kingine nilichopenda hii gari naipata karibu katika rangi, na maanisha ilitoka na rangi tofauti tofauti.
Nimeangalia kodi TRA ikaonekana hawana katika calculator yao, nimewaomba waiongeze. Si mtaalamu ila nimeipenda
Kwa msaada zaidi anaeifahamu tuweke uchambuzi hapa, ugumu wa bodi, kuimili njia zetu nk
Chini ni baadhi ya picha zake