Kubadilishana kituo cha kazi idara Sekondari

Kuna watu wamepokea barua za Uhamisho toka Tamisemi inaitwa kimya Kimya
 
Pia Njoo Halmashauri mpya ya Mkwajuni mkoa wa songwe yeye aende Mbozi,au mkoa wa mbeya wilaya ya Rungwe,mbeya vijijini au mbalali idara sekondari 0754414648
 
Back
Top Bottom