Mkutano Mkubwa wa Injili Nyumbani mwako

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,203
5,703
Mkutano mkubwa wa injili unarushwa kwa TV na Radio na YouTube kutoka mwanza na unakufikia unakufikia nyumbani kwako moja kwa moja <live> au Mubashara kila siku kuanzia saa 11:30 jioni mpaka saa 2:00 usiku

Mahubiri haya yanarushwa Afrika nzima kupitia satellite, Tanzania kwa radio na Youtube Chanel Duniani kote.

Utapata Injili ya neno la Mungu ukiwa nyumbani mwako mpaka tarehe 05/03/2017

Jumatano ni maombezi, makubwa kwa watu wote, mafundisho ya ndoa na familia, lakini kwa wale waliopo mwanza huduma za kiafya bure.

JINSI YA KUUPATA MKUTANO HUU KILA SIKU NYUMBANI MWAKO.

1. kupitia morning star radio

Inapatikana masafa haya
89.9 Morogoro

89.9 Musoma
102. Mwanza
102 Arusha
102.9 Tabora
103.3 Kigoma
104.1Tanga
104.9 Iringa
105.3 Dar es salaam
106.9 Mbeya

Au kwenye smartphone yako kwa application hii. Fuata link
Tanzania Radio - Android Apps on Google Play

Ipo play store ukiingiza kwenye simu kuna orodha ya radio, moja wapo ni Morning Star Radio sikiliza kupitia radio hio popote duniani.

Pia unaweza ipata kupitia Tv (runinga) live, Morning Star TV na Star religion.

Star religion ipo king'amuzi cha Continental na morning Star Tv ipo kwenye king'amuzi cha Ting na Continental

Pia waweza ipata live kila siku kwa YouTube chanel, andika "ushindi hatimaye" chanel itakuja au fuata link hii


Pia morning star tv inapatikana kwenye satellite ya ABS2 75° E nitaweka friquency muda si mrefu

Karibu ukutane na Mungu ukiwa ndani kwako moja kwa moja toka mwanza
047abe682236c0e49ef1e4361dd2c942.jpg


Kwa msaada wowote weka coment au ni pm. Ni bureee kwa watu wote. Nimahubiri yatakayo kusogeza karibu na Mungu wako daima na kukufunuria siri kubwa za upendo wa Mungu maishani
 
Asante sana mkuu kwa taarifa mahususi kama hii na mungu akubariki na uwe unaupdate mara kwa mara ili tuweze kubaini umuihmu zaidi wa mahitaji kwa bwana mwokozi wetu.
 
Asante sana mkuu kwa taarifa mahususi kama hii na mungu akubariki na uwe unaupdate mara kwa mara ili tuweze kubaini umuihmu zaidi wa mahitaji kwa bwana mwokozi wetu.
Karibu sana mkuu. Biblia inasema habari njema ya wokovu itahubiriwa ulimwenguni kote ili kuwa ushuhuda hapo ndipo mwisho utakapokuja
 
Back
Top Bottom