Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,936
Natafuta noah ya kukodi, iwe dar es salaam. Itafanya kazi ya kubeba wanafunzi tu wa chekechea tu asubuhi na Mchana.
Itafanya kazi siku 5 tu za wiki na wikiendi inakuwa free.
Mkataba wa malipo tutakubaliana. Ingia inbox. Ntakupa namba za simu tuyajenge.
Dumelang
Itafanya kazi siku 5 tu za wiki na wikiendi inakuwa free.
Mkataba wa malipo tutakubaliana. Ingia inbox. Ntakupa namba za simu tuyajenge.
Dumelang