Shinda Gari kutoka Carfromjapan

Shinda Gari kutoka Carfromjapan

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,273
Reaction score
5,925
Carfromjapan wanaendesha bahati nasibu ya jishindie gari kwa muda wa miezi 12. Droo ya kwanza ni mwezi wa pili tarehe 20 gari mbili kutolewa kila mwezi na gari 4 kila baada ya miezi 3

Huitaji kununua chochote, unajisajili, unapendekeza gari unalopenda kushinda, subiri droo.

Ingia hapa

CAR FROM JAPAN : Car From Japan Grand Giveaway 2017

Note: hii ni bahati nasibu.
 
Hizo gari 2 ni worldwide au Tanzania tu?
 
Back
Top Bottom