Search results

  1. miamiatz

    Iwapo AI inaweza kusolve captchas, je nini kitatumika kubainisha bots kwenye tovuti

    AI imeendelea kuthibitisha kuwa inaweza kuona picha, kufanya hesabu, na kadhalika. Mifumo mingi ya captchas hutegemea picha, hesabu, herufi na sauti kucheki kama mtumiaji ni bot au binadamu. Kuna wasiwasi kuwa spammers nao wameanza kutengeneza bots zinazotumia AI kufanya utambuzi wa picha...
  2. miamiatz

    Poem: Dear Afande, Why did you do that?

    Dear Afande, why did you do that, To humiliate the police force, was that your act? Did you forget the oath you took, To serve and honor, not to humiliate. The force you represent is one of pride, Yet your actions tore that image apart, You left many with a bitter taste inside, And the trust...
  3. miamiatz

    Looking for NBAA registered Auditor (individual) to work on freelance basis

    Hello Guys. As indicated in the title, I'm looking for NBAA registered Auditor to work on freelance basis for clients. Working on freelance basis means you will be working from the comfort of your home or anywhere you are working now. You just need a laptop and access to the internet to...
  4. miamiatz

    Chemical engineer needed on freelance consultancy basis

    Looking for a chemical engineer who will be willing to work with some clients on freelance consultancy basis in Dar es Salaam. Being a consultancy based position, payments will be as and when the incumbent performs a task or tasks for a client or clients and will be agreed upon in advance (i.e...
  5. miamiatz

    Looking for registered engineer (ERB)

    Hello guys. Moja ya rafiki zangu anajihusisha na ukandarasi. Yeye ni mtaalam wa miaka mingi kwenye field na huwa anapata kazi za miradi mbalimbali. Sasa anataka kusajili kampuni yake na amekwama upande wa kuwa na registered engineer. Hivyo kama kuna engineer aliesajiliwa mwenye ndoto ya kuwa...
  6. miamiatz

    Fahamu kitu cha kufanya ikiwa simu inakuwa ya moto mara kwa mara

    Kwa kawaida simu huwa yamoto wakati ikiwa inachajiwa ama inatumika kwa matumizi yanayotumia moto mwingi wa betri (mfano kuangalia videos, kucheza games, etc). Ila umoto wake huwa wa kawaida na sio wa kutisha. Ukiona simu inakuwa yamoto mpaka unashtuka ujue kuna kitu hakipo sawa. Soma zaidi...
  7. miamiatz

    Wakati huu ni wa kujitihada kwenye vipaji. Ubunifu ulinisaidia katika wakati mgumu niliowahi kupitia

    Jitihada ni kulifanya jambo bila kuchoka wala kukata tamaa. Kipaji ni uwezo wa kubuni jambo ambalo lotawaacha wengine wabaki waoh. Wakati huu ni wakati wa kuunganisha jitihada na vipaji ili kushinda ugumu wa maisha. Kipaji huongeza kasi (speed). Jitihada huondoa uvivu. Kama unavyo vyote lazima...
  8. miamiatz

    Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

    Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum. Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
  9. miamiatz

    Uchambuzi wa soko ni muhimu kuliko ujuzi wako wa kutengeneza bidhaa ama kutoa huduma

    Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze mchango wetu kwenye comments. Mimi changamoto ambayo naona ni kubwa zaidi kuliko ile ya ukosefu wa...
  10. miamiatz

    Kuna baadhi ya kazi hazitafutwi wakati upo desperate

    Kukekuwa na wimbi kubwa la utafutaji wa kazi huku mtu akiwa desperate. Yaani unakuta ameshajikatia tamaa, ameshajichokea, ameshajiambia acha nitafute yoyote. Hii ni hatua mbaya kufikia na ukifikia hatua hii basi baadhi ya kazi haifai kuziomba. Mfano mmoja wa kazi hizi ni kazi za kwenye...
  11. miamiatz

    Ni wakati muafaka sasa Tanzania inahitaji kuwa na Startup Hubs halisia kwa mazingira yetu

    Tanzania na Africa kwa ujumla bado tunasua sua kwenye kasi ya maendeleo ya kiteknolojia. Vipaji vingi sana kwenye sector ya teknolojia vinakosa muendelezo na njia sahihi za kupita. Nadhani inatakiwa viongozi wetu waamke sasa na wajue kuwa hata kwenye IT kuna watu wanaoweza kufanya mambo makubwa...
  12. miamiatz

    Wataalamu wa Web Designing na Development mnatoa ushauri gani hapa?

    Habari wakuu. Sekta ya Web Design imetekwa na utitiri wa themes na templates zinazotumika kwenye cms na frameworks mbalimbali. Katika pita pita yangu nilichobaini asilimia kubwa ya hizi themes na templates zinajhitaji customization ya uhakika ili ziwe nyepesi wakati wa kuload. Kuna site ni...
  13. miamiatz

    Kama ungependa kuacha legacy imara zaidi wekeza kwenye umiliki wa digital assets pia

    Kuna baadhi yetu tunaowaza kujenga kwa ajili ya familia. Kununua viwanja kwa ajili ya familia. Kunununua mashamba kwa ajili ya familia. Ni jambo jema sana ila tunasahau kuwekeza kwenye digital assets kwa ajili ya familia. Digital assets ni assets zote za kiteknolojia ambazo asilimia kubwa sio...
  14. miamiatz

    Kama una mpenzi wako na anajua una biashara ila hakuna hata siku moja umemsikia akikwambia baby pole sana...

    Kama una mpenzi wako na anajua una biashara ila hakuna hata siku moja umemsikia akikwambia baby pole sana najua biashara yako inaathirika sana na hili janga la corona. Nakuombea mwenyeezi Mungu akupe moyo wa uvumilivu. Ama hajawahi kuonyesha huruma yoyote kwa biashara yako ama shuhuli yako...
  15. miamiatz

    Wanahitajika watu wa kukamata kitengo cha kuandaa Memorandum & Articles of Association na kusajili kampuni

    Katika ile MIAMIA PROJECTS PORTAL niliyowahi kuielezea kwa uzi huu Kwa yeyote anaeweza kufanya kazi yeyote wakati wa free time aje inbox wanahitajika watu watakaofanya kazi ya usajili wa biashara na makampuni. Watakuwa wanafanya kazi kama team lengo likiwa ni kuongeza ufanisi. Kumbuka hii sio...
  16. miamiatz

    Jiandalie mazingira ya kujiajiri ukiwa chuo ama ukiwa unaendelea na masomo yako

    Haijalishi unasomea masomo gani. Iwe uhandisi, iwe unajimu, iwe biashara, iwe ualimu, etc. Unapaswa kuandaa mazingira ya kujiajiri kwa kufanya mambo yafuatayo. 1. Jifunze public speaking (kuzungumza katika hadhara). Hakikisha kila ikijitokeza fursa ya kuongea mbele ya watu basi wewe simama...
  17. miamiatz

    Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

    A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki. Akanunua gunia 300 kwa wastani wa TZS 30,000 kwa gunia. Alitumia TZS 1M kwenye madawa na usafiri. Alikuwa na room aliyoiita ya wageni...
  18. miamiatz

    Una bidhaa na wateja haba? Ukifuata mtindo huu hapa utapata matunda ya haraka zaidi

    1. Tengeneza network pana kwa kutafuta contacts za watu wengi kupitia mitandao ya kijamii, directories, kutoka kwa marafiki. Wewe chukua details za watu kila unapoona jina la mtu na details zake beba. Hifadhi namba hizo kwenye simu yako kwa kuunda group of contacts na uliite Leads. 2. Andaa...
  19. miamiatz

    Jinsi gani teamwork inaweza saidia kupunguza makali ya ukata wa ajira kwa wasomi wetu

    Mimi ni muumini wa msemo usemao Tanzania kazi ni nyingi sana ila ushirikiano ndio mdogo sana. Kuna watu wanajua sana kuandaa proposal mpaka wakapewa kazi fulani ila ile kazi hawaiwezi. Kuna wale wanaojua kazi mwanzo mwisho ila kuandaa proposal yenye ushawishi hawawezi. Changamoto kubwa...
  20. miamiatz

    CV ya kisasa ni profile yako na inafaa kuwa kama business proposal, hivyo sharti iwe tofauti kwa kila umtumiae

    THREE KEY FACTS: Wewe ni bidhaa. Muajiri ni mteja. CV ni business proposal. Ni vyema kuwa na standard CV sawa ila sio kwamba kila unapopeleka application unaituma kama ilivyo la hasha. Customise it first. Mfano unaomba kazi ya uhasibu kwenye kampuni changa ya utalii. Basi CV yako ambayo skuizi...
Back
Top Bottom