miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 504
- 927
Habari wakuu.
Sekta ya Web Design imetekwa na utitiri wa themes na templates zinazotumika kwenye cms na frameworks mbalimbali.
Katika pita pita yangu nilichobaini asilimia kubwa ya hizi themes na templates zinajhitaji customization ya uhakika ili ziwe nyepesi wakati wa kuload.
Kuna site ni nzuri sana muonekano ila ni nzito mno kuload. Hapa designer anakuwa hakuitazama speed kama factor.
Ila kwa bahati mbaya ni kazi sana kubalance speed na muonekano. Ukiongeza muonekano ukawa mzuri zaidi speed inateremka.
Ili tusijikute kwenye mtego huu huwa inashauriwa kuchukua data mbalimbali na maoni ya wadau mbalimbali.
Please hebu chukua sekunde chache uload hii page www.miamia.co.tz na utoe maoni yako je design na speed vimebalance ama nini kirekebishwe?
Data zetu zinasema kuwa site inaload fully ndani ya sekunde tatu kwa reloads. Je, kwako imeload kwa sekunde ngapi kwa kukadiria?
Asante kwa maoni yenu.
Courtesy of miamiatz