Looking for registered engineer (ERB)

miamiatz

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
504
927
Hello guys.

Moja ya rafiki zangu anajihusisha na ukandarasi. Yeye ni mtaalam wa miaka mingi kwenye field na huwa anapata kazi za miradi mbalimbali.

Sasa anataka kusajili kampuni yake na amekwama upande wa kuwa na registered engineer.

Hivyo kama kuna engineer aliesajiliwa mwenye ndoto ya kuwa director kwenye kampuni ya wazawa tuwasiliane.

Asante.

EDIT
Miradi anayofanya ni barabara, madaraja and the like. Tukumbuke hii sio nafasi ya ajira bali ni fursa ya umiliki wa pamoja wa kampuni mpya. Suala la mtaji ni juu yake yeye sio wewe.
 
Maswali yote atakujibu yeye mwenyewe. Kama umesajiliwa ama unamjua alosajiliwa tuwasiliane
 
Mzeya kuna mtu wa ukweli ninae yaani cv hatari.....nondo za stellenboch

Kama mzeya anapata tender za maana nipe connection.
 
Maswali yote atakujibu yeye mwenyewe. Kama umesajiliwa ama unamjua alosajiliwa tuwasiliane
Unapokosa taarifa muhimu tayari umefeli, ERB ni engineers regitration board, wamesajiliwa mainjinia wa aina tofauti...funguka kijana.
Nimekuuliza kwa nia njema nikiwa na majibu mfukoni.
 
Back
Top Bottom