Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

miamiatz

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
504
927
Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum.

Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina.

Tatizo la ajira limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Hii inatokana na mabosi kutoona kama wanahitaji kuongeza idadi kubwa ya watu katika kampuni ama taasisi zao huku wasomi wakiongezeka siku hadi siku.

Bahati mbaya sio kwamba hawa mabosi hawana kazi katika makampuni ama taasisi zao ila ni kwamba hakuna bosi anaetaka kuongeza garama bila ongezeko la kipato cha kampuni yake.

Hii ina maana kuwa kama utaweza mshawishi bosi kuwa wewe unaweza kutatua changamoto flani ya kampuni yake kwa kutumia mbinu kadhaa na kampuni hiyo ikastawi zaidi basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo bosi akakupa kazi hiyo bila kusita.

Ili tufikie huko lazima tujitahidi sana tusome sana tuongeze ujuzi. Yapo makampuni yanayofilisika kwa kukosa watu wenye uwezo wa kuyakomboa. Sasa kazi ni ya kila anaetaka kazi kujinoa na kujiongezea uwezo wa kutatua matatizo.

Hebu fikiri leo hii uje kwangu uniambie ebwana kuna fursa ya kupanua biashara yako kwa kufanya mambo A, B, C. Kisha ukasema wewe upo tayari kuongeza mauzo yangu na kwa kila utachouza nikulipe kiasi flani. Ntakuwa mjinga kiasi gani kukukatalia?
 
Hao mabosi unakutana nao vipi maana mida mingi wako kwenye mashangingi na meeting kibao.

Ukisema weekend ndio wako bar wakichoma mbuzi na beer.

It is never too late to begin. Start now
 
Nadhani kuonana uso kwa uso ni mbinu ambayo kila siku zinavyoenda inazidi kupitwa na wakati. Kuna njia nyingi za kuweza kufikisha ulichonacho na unachoweza kukifanya kwa mabosi bila hata kuonana uso kwa uso.

Na kwa wengi hatua ya kwanza ni kujifunza mbinu za kuweza kuwasilisha lile unaloona linaifaa kampuni flani bila uhitajiwa wewe kuonana nao.

Pia mabosi wengi wa makampuni binafsi wapo very positive kuwapokea watu ambao wanaweza kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba kampuni nyingi zina tatizo kubwa sana la ukosefu wa watu sahihi.

Hao mabosi unakutana nao vipi maana mida mingi wako kwenye mashangingi na meeting kibao

Ukisema weekend ndio wako bar wakichoma mbuzi na beer

It is never too late to begin. Start now
 
Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum.

Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina.

Tatizo la ajira limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Hii inatokana na mabosi kutoona kama wanahitaji kuongeza idadi kubwa ya watu katika kampuni ama taasisi zao huku wasomi wakiongezeka siku hadi siku.

Bahati mbaya sio kwamba hawa mabosi hawana kazi katika makampuni ama taasisi zao ila ni kwamba hakuna bosi anaetaka kuongeza garama bila ongezeko la kipato cha kampuni yake.

Hii ina maana kuwa kama utaweza mshawishi bosi kuwa wewe unaweza kutatua changamoto flani ya kampuni yake kwa kutumia mbinu kadhaa na kampuni hiyo ikastawi zaidi basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo bosi akakupa kazi hiyo bila kusita.

Ili tufikie huko lazima tujitahidi sana tusome sana tuongeze ujuzi. Yapo makampuni yanayofilisika kwa kukosa watu wenye uwezo wa kuyakomboa. Sasa kazi ni ya kila anaetaka kazi kujinoa na kujiongezea uwezo wa kutatua matatizo.

Hebu fikiri leo hii uje kwangu uniambie ebwana kuna fursa ya kupanua biashara yako kwa kufanya mambo A, B, C. Kisha ukasema wewe upo tayari kuongeza mauzo yangu na kwa kila utachouza nikulipe kiasi flani. Ntakuwa mjinga kiasi gani kukukatalia?

Mkuu umeongea kisomi sana. I salute you. Na kama ulivyosema watu wasome na kuongeza maarifa sio kwa ajili ya kupata Alama nzuri Bali pia kuelewa ili Waje wafanye application kwenye maisha yao.

Aidha. Watu hasa wa Serikali na hata binafsi waache mazoea ya kufanya kumaliza masaa. Bila kufanya evaluation ya siku. Mwezi mwaka Nini amefanya na kwa matokeo yapi. Na kwenye interview serious lazima swali Hilo la utaifanyia Nini kampuni nk liwepo. Tumia akili kama mtaji wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙏🙏🙏🙏🙏

Back
Top Bottom