Search results

  1. georgeallen

    Kampuni Forex Trade Saccotz Ltd ni halali?

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  2. georgeallen

    Wenye kuijua hii kampuni forextradesaccotz ltd, tupeni ukweli/uhalali wake

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  3. georgeallen

    Simba achaneni na kocha Nabi; hafai na hawafai kwa lolote. Bora mara mia mumrudishe robertinho

    Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
  4. georgeallen

    Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  5. georgeallen

    Kupauka kwa rangi ya gari ni kosa?

    Leo nimekamatwa na traffic police nakuandikiwa risiti nilkalipe elfu 30 kisa rangi ya gari yangu kwenye bonnet imepauka. Nilipomuuliza kupauka kwa rangi kunahatarisha vipi usalama wangu na wengineo barabarani akaniambia nikilipia ndiyo nitajua. Je, kupauka kwa rangi ya gari ni kosa? Na kama ni...
  6. georgeallen

    Vitendo vya ujambazi, kulawiti na kubaka wanawake, vyashamiri mji wa Fulwe na kijiji cha Nungu, Mikese, Morogoro

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la vitendo vya ujambazi, ulawiti na ubakaji wa wanawake hasa nyakati za usiku katika "Mji" wa Fulwe na kijiji cha Nungu, Tarafa ya Mikese, Mkoani Morogoro. Kisa cha karibuni kilitokea usiku wa kuamkia Jumamosi ya tarehe 5, 2018 ambapo mama mmoja...
  7. georgeallen

    Umri wa kustaafu madaktari bingwa

    Naomba wenye taarifa ya ile sheria ya umri wa kustaafu madakitari bingwa kwa lazima i.e. miaka 65 wanijuze kama sheria hiyo imeishaanza kutumika au ni lini inategemewa kuanza kutumika. Natanguliza shukrani zangu.
  8. georgeallen

    Tusaidiane kubuni Jina la biashara

    Wandugu, ili kujikomboa na halii hii ngumu ya maisha iliyotunyemelea hapa nchini miaka hii, mwenzenu nimejipigapiga na kufanikiwa kujenga mjengo kwa ajili ya biashara ya nyumba ya kulala wageni, bar, na mgahawa. Majengo ya biashara hii yapo kando kando ya moja ya barabara kuu za Tanzania na...
  9. georgeallen

    Bili ya maji bila kupata Maji: waziri wa maji tumbua jipu MORUWASA

    Sis wateja wa maji wa MORUWASA tunamuomba waziri wa maji aje Morogoro atuondolea hili jipu la kulipia bili za maji kila mwezi pasipo kupata huduma ya maji. Wizi huu wa mchana kweupe umekuwepo hapa morogoro kwa muda mrefu sasa na kwa kuwa hawa watendaji wana uhakika wa kupata pesa ya bure kila...
  10. georgeallen

    Nahitaji semi precious stones aina yoyote

    Nahitaji semi precious stones aina yoyote ile kwa bei yako. Kila aina ya precious stone iwe kwa kiwango kikubwa (weight wise). Nipo Dar-Es Salaam na Morogoro
  11. georgeallen

    Tanzania perfects its Talents on Corruption-2013 CPI report

    read all about it here: Corruption perceptions index
  12. georgeallen

    Tanesco na mgao wa umeme

    Jana kulikuwa na taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuwepo mgao wa umeme, na sababu kubwa ikiwa ni matengenezo ya mtambo wa gesi wa PAE huku Mtwara. Taarifa hizi hata hivyo zilikanushwa vikali na mkurugenzi wa Tanesco Bwana F. Mramba ya kwamba t ni za uongo na hakutakuwepo na mgao...
  13. georgeallen

    EWURA na bei elekezi za mafuta

    Tangu Haruna Masebu astaafu bei elekezi ya mafuta ya petroli zimekuwa zikipanda kila mwezi licha ya bei ya mafuta kwenye msoko ya dunia kushuka. Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu kupandisha bei au Masebu aliondoka na ile formula ya kukokotoa bei elekezi?
  14. georgeallen

    hii ni nini?

    Kila nikifungua laptop yangu inanikomandi nichague boot devices-haikuwa hivyo kabla. Pia maandishi kucheza cheza kila explorer au google chrome ipo kwenye process ya kufunguka . Je, ni virusi au kitu gani hiki wajuzi wa ICT and CS? Nifanyeje?
  15. georgeallen

    Ajali-msaada wa sheria

    Mimi nilikuwa abiria kwenye basi lililopata ajali Mikumi, Morogoro, 2011. Nilipata majeraha makubwa na kulazwa hospitali kwa miaka miwili-na bado nipo hospitali. Wakati ndugu wanafuatilia nyaraka za ajali ili kupeleka madai ya malipo bima wamegundua kwamba basi lile lilikuwa na bima...
  16. georgeallen

    Hoja binafsi: Mwigulu Nchemba apewe uwaziri wa fedha

    Kutokana na umahiri wa Mwigulu Nchemba wa kunukulu matheories na theorists kibao, kukandia bajeti ya upinzani, kuiita rubbish na kuitupa; nakusudia kupeleka hoja binafsi kwa mkuu wa kaya ili amteue awe waziri wa Fedha. Kwa Wananiunga mkono tafadhali changieni hoja zenu zenye mshiko hapa ...
  17. georgeallen

    Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

    Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na ujumbe (replies) kwamba ujumbe niliopeleka kwa e.g. john@yahoo.com haukuweza kupelekwa wakati mimi...
  18. georgeallen

    Maumivu makali mwilini ya muda mrefu (miaka 10)

    ndugu yangu ana maumivu makali mwili mzima kwa miaka 10 sasa. Maumivu ni makali zaidi usiku. Anajisikia kuchoka sana na kujisikia usingizi hasa mchana. Anatoka jasho kwa wingi na lina harufu kali. Hapati choo sawasawa licha ya kula vyakula vya asili, mbogamboga na kunywa maji mengi. Je ana...
Back
Top Bottom