Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
4,118
1,867
Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na ujumbe (replies) kwamba ujumbe niliopeleka kwa e.g. john@yahoo.com haukuweza kupelekwa wakati mimi ujumbe ule sikumpelekea mtu yoyote. Kwa hiyo watu wote nilio na-address zao wote wamepata na wanaendelea kupata ujumbe huo. Nifanyeje kukomesha hii kitu maana kila aliyepata huu ujumbe anasema nawasumbua?.
 
dah.. Hapo chamsingi ni kuscan mashine yako tu.. Kama ungekuwa na antivirus ya internet ingekusaidia tangu mwanzo
 
t
Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na ujumbe (replies) kwamba ujumbe niliopeleka kwa e.g. john@yahoo.com haukuweza kupelekwa wakati mimi ujumbe ule sikumpelekea mtu yoyote. Kwa hiyo watu wote nilio na-address zao wote wamepata na wanaendelea kupata ujumbe huo. Nifanyeje kukomesha hii kitu maana kila aliyepata huu ujumbe anasema nawasumbua?.

There is nothing you can do mkuu. toa ripoti kwa yahoo na wao watatatua tatizo lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom