georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,873
Sis wateja wa maji wa MORUWASA tunamuomba waziri wa maji aje Morogoro atuondolea hili jipu la kulipia bili za maji kila mwezi pasipo kupata huduma ya maji. Wizi huu wa mchana kweupe umekuwepo hapa morogoro kwa muda mrefu sasa na kwa kuwa hawa watendaji wana uhakika wa kupata pesa ya bure kila mwezi wamebweteka.