Search results

  1. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  2. FirstClass

    Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
  3. FirstClass

    Je, ni sahihi kwa wasanii hawa kujumuika kwenye picha hii?

    Nijuavyo Diamond ni Balozi wa Airtel, vipi kwa hawa wasanii wengine.. Ufafanuzi tafadhali...
  4. FirstClass

    Yupi ni mwamba na yupi tumepigwa?

    Aartami Korp Vs Don
  5. FirstClass

    Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
  6. FirstClass

    Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

    Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!! Muda mwingi niliutumia kujifunza...
  7. FirstClass

    Karibu ufanye biashara nasi kwa '2 Way Messages'

    Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company na mteja Yani mteja anauwezo wa kuuliza Mahalia ambapo hajaelewa ama kutoa maoni yake dhidi ya bidhaa...
  8. FirstClass

    Huduma ya Two Way Messages (2WM)

    Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company na mteja Yani mteja anauwezo wa kuuliza Mahalia ambapo hajaelewa ama kutoa maoni yake dhidi ya bidhaa...
  9. FirstClass

    Wazo la kufanya wimbo wa pamoja

    Nilikuwa nam-zoom The Legend. Undertaker ghafla nikapata Idea ya kufanya kitu.. Wajuba.. Mnaonaje tukiji- organize watu km 5 na kuendelea ila wasizd10 tukaifanyia maajabu ile Instrumental ya Undertaker. Jina la ngoma iwe 'Wako wapi' Yaani hapa tutawazungumzia wale waliofanya makubwa lakini...
  10. FirstClass

    Director July Tax unakosea hapa tu...

    Ukiwataja madirector wa Movie za kutisha kwa Tz na East Africa kwa ujumla, basi utakosea km hutomtaja July Tax. Kwa upande wangu, jamaa anaukaribia uwezo wa Mel Gibson kwa Bongo yetu, japo kwa mbali kdogo. Hayupo wa kumfananisha nae, hata the late Kanumba atakubaliana nami. Jamaa anauwezo...
  11. FirstClass

    Diss za Nikki Mbishi kwa watu wasiohusika na muziki/sio wasanii

    Japo mpaka sasa jamaa bado yumo ndani ya futi 6, ila si mbaya kama tutajikumbushia baadhi ya Diss line zake kwa wasamalia wema/yani watu wasiohusika na Muziki. Kwenye 'Over n Over' Jamaa alinena maneno haya kwenda kwa Askari wetu wa usalama barabarani: 'Adimu ka kumpata traffic handsome ... 😂...
  12. FirstClass

    Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

    Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida. Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini.. Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi. Kosa...
  13. FirstClass

    Ngoma ipi ya Hip Hop ya mapenzi unaikubali kati ya hizi? Weka lines

    Mwana FA ft Jaydee - Hawajui Mlimbwende - One The Oncredible Fid Q ft Christan Bella - Roho Izo Busness ft Shaa - Kidawa Chande ft Diamond - Nashindwa Prof J ft H Blasters ( Big Will & Fanani ) Ongeza niliyosahau. ...Twenzetu Joggin.
  14. FirstClass

    Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

    Mimi ni kijana wa kitanzania ninayefikilia kujiajili. Umri ni miaka28.. Mrefu wastani.. Dhumuni la kuleta tangazo hili hapa, ni kuwa. Nimekaa nikafiliki. Palipo na mafanikio ya Mwanaume yeyote. Basi kunanguvu ya mwanamke nyuma.. Nikafikilia tena, Ili ufanikiwe. Unahitaji mawazo sahihi toka kwa...
  15. FirstClass

    Kati ya ngoma hizi, ipi unaikubali. Andika na mistari unayoielewa

    Nakupenda hip hop - Roho Saba Darubini - Mfalme Suleiman / Afande Sele Chemsha Bongo - Profesa J Chagua Moja - Fid Q Nakwenda - Chindo Man Mtazamo - Sollo Thang Sent using Jamii Forums mobile app
  16. FirstClass

    Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

    Licha ya kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii, lakini dili nyingi tunaona zikienda kwa Baba yao pekee. Vijana wanakwama wapi kwani. Tembo Mnyama kila siku dili mpyaaa. Hongera Harmonize kwa jicho la fursa. Uliona mbali sanaa. Japo wengi walikuponda kwa maamuzi yako ya kujitoa wasafi...
  17. FirstClass

    Tatizo la ' Kivuli '

    Habari za wikend waungwana.. Kwa muda wa kama miezi2 nimekuwa muhudhuriaji wa hospitali kumuugiza Mama yangu Mzazi. Ndani ya miezi hiyo, amelazwa kama mara3. Tatizo linalomsumbua halieleweki. Anaishiwa na damu mara kwa mara, kelele masikioni. Miguu kuwaka moto. Ganzi miguuni. Baridi kali...
  18. FirstClass

    Ushauri wa fasta fasta unahitajika..

    Hivi kwa binti unayempenda, yani unamalengo nae. Ikitokea amekuomba pesa. Ukamjibu ' sina '. Kisha akakata mawasiliano gafla. Jeh unahaja ya kuendelea kuwa na malengo nae..?? Kuna ndugu yangu anaomba ushauri.. Nilichomshauri mimi.. Kwanza nilimuuliza..... Mimi- mna muda gani na binti huyo...
  19. FirstClass

    Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

    Kama picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu.. Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini kama Prof Kabudi, Job Ndugai, Paul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani kama Polepole na Musiba, kwa hakika...
  20. FirstClass

    Msanii Benson

    Kwa heshima na taadhima, napenda kumleta kwenu mtunzi na mwimbaji bora kabisa wa muziki wa kizazi kipya, kijana na msanii Benson.. Sina maneno mazuri ya kumuongelea kijana huyu, ila nendeni yu- tubuni mkajionee maajabu yake.. Alianza na Motto Hauzimi, na sasa ana Mashallah.. Ebana eeehh...
Back
Top Bottom