FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,149
- 1,470
Hivi kwa binti unayempenda, yani unamalengo nae. Ikitokea amekuomba pesa. Ukamjibu ' sina '. Kisha akakata mawasiliano gafla. Jeh unahaja ya kuendelea kuwa na malengo nae..??
Kuna ndugu yangu anaomba ushauri..
Nilichomshauri mimi..
Kwanza nilimuuliza.....
Mimi- mna muda gani na binti huyo..?
Yeye- Mwezi1
Mimi- Jeh imewahi tokea ukampa pesa yeyote alipokuomba..?
Yeye- Hapana, huwa namuungia bando tu. Hajawai niomba pesa kabla..
Mimi - Mlikutana wapi kwa mara ya kwanza..?
Yeye- Stand ya daladala
Mimi- Alikuomba bei gani..?
Yeye- Elf30
Mimi- Ulimpatia majibu gani ?
Yeye- Nilimwambia kwa sasa sina..
Mimi- Umejuaje kama amekata mawasiliano.. ?
Yeye- Nikimpigia hapokei..
Mimi - Umempgia mara ngapi..?
Yeye- Zaidi ya mara5..
Mimi - Kwanini unajipa tabu kwa mtu asiyepokea simu yako kwa sababu ya elfu30..?
Yeye- Kimya..
Interview ikaishia hapo..
Mshaurini na nyie huyu jamaa. Maana amekuja kunikopa hapa..