FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,149
- 1,470
Nilikuwa nam-zoom The Legend. Undertaker ghafla nikapata Idea ya kufanya kitu..
Wajuba..
Mnaonaje tukiji- organize watu km 5 na kuendelea ila wasizd10 tukaifanyia maajabu ile Instrumental ya Undertaker.
Jina la ngoma iwe 'Wako wapi'
Yaani hapa tutawazungumzia wale waliofanya makubwa lakini sasa hawapo tena. Yani R. I. P
Wakuu kama idea itawapendeza. Msisite kunichek
Hela ya studio tutachanga wote.