Search results

  1. BEDUI Jr

    Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

    Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,
  2. BEDUI Jr

    Thomas Partey: Nilibadili dini kutoka Ukristo kuwa Muislamu kwa sababu ya mpenzi wangu

    Thomas Partey anasema alibadili dini kutoka Ukristo kuwa muislamu kwa sababu ya mpenzi wake kutoka Morocco, Sara Bella. Alisema alikulia miongoni mwa Waislamu, na haoni tofauti kubwa kati ya Wakristo na Waislamu. Kwa sasa jina lake la kiislam ni YAKUBU
  3. BEDUI Jr

    Uko wapi ukweli kuhusu panya road?

    Habari Mabibi na Mabwana wa Jf; Haya matukio ya Panya Road kwa sasa yamekua yana tatanisha sana. Mfano Mimi ni mkazi wa Temeke (Tandika) sikuwai kusikia wala kuona Panya Road. Lakini cha ajabu nikienda kazini maeneo ya Sinza nawasiki watu wanahadisia kua Panya Road wamevamia Temeke (Tandika )...
  4. BEDUI Jr

    KUPANDAKWA BEI YAMAFUTA ULAYA

    Madereva wa lori mjini Madrid, Uhispania wanaendelea kuandamana dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta na kumtaka waziri wa uchukuzi kujiuzulu Source RT
  5. BEDUI Jr

    Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material?

    Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material? Kuna kitu sikielewi katika mwili wangu, yaani nikikalia vitu vya plastic mfano: Kiti au meza, vinyweleo vya mikono vinasimama inakua kama Sumaku hivi nikitoa mkono vinalala. Wajuzi naomba munijuze.
  6. BEDUI Jr

    Tusidharau Yanga ipo na inaua

    Habari zenu wakuu Leo Club yetu pendwa (Temu ya wananchi) Dar es salaam Young African itashuka dimbani kuchuana na Rivers United. Lolote linaweza kutokea wakati wowote. Yanga ipo na inaua yatupasa kuchukua tahazari zote. Tunawatakia kilala kheri katika pambano lao
  7. BEDUI Jr

    Kauli ya Netanyahu alipokutana na Mawaziri wa mambo ya nje wa Czech na Slovak

    Nukuu PM Netanyahu: " Msaada kwa Hamas na Islamic Jihad unatoka Iran. Ukiondoa Msaada wa Iran wote wataanguka ndani ya wiki mbili. Iran haisaidii tu matendo ya kigaidi bali inashiriki kwenye mashambulizi ya silaha dhidi ya Israel. Na huu ni ushahidi". Nanukuu PM Netanyahu: "The support for...
  8. BEDUI Jr

    Azam Tv acheni kutufanya kama hatuna akili

    Nikiangalia vifurushi vya AZAM hivi vipya ambavyo vitaanza kutumika Tarehe 1 December, sioni walipo punguza bei za Channels zao zaidi ya kuongeza. Chaneli za Azam Sports zitapatikana kuanzia 20000 kwa mwezi,Bei ya Sasa ni 18000 kwa Mwezi. Azam 1 & 2 kuanzia 13000 kwa mwezi,Bei ya sasa ni...
  9. BEDUI Jr

    Hii picha inamaanisha

    Kama kichwa kinavyo sama
  10. BEDUI Jr

    MSAADA

    Habari wa Jf , TV yangu ni Smart lakini upande wa Wireless haifanyi kazi mpaka SAMSUNG WIRELESS LAN ADAPTER au NETWORK CABLE Ombi langu wapi naweza pata hiyo Samsung Wireless LAN Adapter
  11. BEDUI Jr

    Huyu dada anataka nini kwangu

    Habari wana JF popote mlipo Natumai Bukheri wa Afya nyote, Kama kuna wagonywa Mwenyezi Awape Hafueni. Wakuu Nina demu wangu mmoja mwezi mmoja uliopita alinitaalifu kuwa anataka kutolewa, na mwaume Ambae wazazi wake wametaka aolewe nae, kwa maelezo yake anasema alikataa lakini wanamfosi. Mimi...
  12. BEDUI Jr

    Hii mimba siyo yangu, mtafute mwenye nayo

    Wana JF habari zenu Demu wangu Jana amenishangaza Baada ya kunifahamisha ana mimba yangu,. Nikamuuliza: Siku zako ulitakiwa uzione lini Akajibu: 30, Jana umenunua kipimo nimekuta nina mimba. Nikamuuliza: Unamkumbuka tulikutana lini? Akajibu: Nakumbuka tar 27. Nikamuuliza: Mimba inakujaje hapo...
  13. BEDUI Jr

    Hospitali ya wagonjwa wa corona yakamilika China

    Hospitali ya kwanza maalum ya kuhudumia waathirika wa ugonjwa wa mlipuko wa virusi vya Corona itafunguliwa na kuanza kupokea waathirika kesho Jumatatu Idadi ya vitanda :1,000 Wahudumu wa afya wa Kijeshi :1,400 Kuanza ujenzi :23-01-2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. BEDUI Jr

    Wakenya acheni zenu

    Wakenya kwa tabia hii mmetushinda but huu ni zaidi ya ujinga Sent using Jamii Forums mobile app
  15. BEDUI Jr

    Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

    Habari wana JF, Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyosema. Nina rafiki yangu kiumri tunafanana japo sio rafiki kihivyo, pia tulikua majirani lakini kwa sasa nimehama kwa kero za Mama yake kunitaka kimapenzi. Huyo rafiki yangu ndio mwanawe wa kwanza, jumla huyo mama ana watoto wa 3. Sikumoja...
  16. BEDUI Jr

    HAPPY BIRTHDAY YA MWANANGU NITAIFANYIA IKULU

    Habari zenu wana jf Kama kichwa hapo juu kinavyosema kutokana na kauli ya rais jpm NANUKUU "Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kuja kufanyia mikutano yao hapa (Ikulu) waombe, hapa ni pa watanzania wote". -Rais Magufuli. Leo nimeandika barua kwenda Ikulu natarajia nitakubaliwa kwakua...
  17. BEDUI Jr

    Mauaji ya Pwani ni ugaidi,chuki za kisiasa,chuki za raia dhidi ya polisi au ni uhalifu tu mwingine?

    MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI (MKIRU) Je ni Ugaidi, Chuki za Kisiasa na Jeshi La Polisi au Ni Uhalifu tu Mwingine!? 1. Je Ni Ugaidi Kama Ule wa Al-Shabab 2. Je Ni Chuki Tu Za Kisiasa 3. Je Ni Chuki za Wananchi Dhidi ya Jeshi La Polisi 4. Je Ni Uhalifu Tu Kama Uhalifu Mwingine!? Kwa nyakati...
  18. BEDUI Jr

    Kwanini Rais mstaafu Mwinyi, alitengua ile kauli yake

    Habari wana JF Hivi naomba kuuliza ile kauli ya Mh.Rais Ally Hassani Mwinyi Ilitenguli au bado? Nakumbuka aliposema "Tstarz ni Kichwa cha Mwendawazimu"
  19. BEDUI Jr

    Mafuriko Rufiji yaharibu miundombinu ya barabara ya hifadhi ya mbuga ya Selous

    Habari wana JF Nipo apa Rufiji nikishuhudia adha ya usafiri kwa wananchi na pia watalii wanao eekea SELOUS GAME RESERVE kupitia Barabara ya Mloka kutokea Dar es salaamu kabla ya kufika katika kijiji cha MKONGO kuna Madaraja ya RAMBO Na Daraja la LUWOI yamezamishwa na maji na kufikia kukata...
Back
Top Bottom