HAPPY BIRTHDAY YA MWANANGU NITAIFANYIA IKULU

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,836
Habari zenu wana jf
Kama kichwa hapo juu kinavyosema kutokana na kauli ya rais jpm

NANUKUU "Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kuja kufanyia mikutano yao hapa (Ikulu) waombe, hapa ni pa watanzania wote". -Rais Magufuli.

Leo nimeandika barua kwenda Ikulu natarajia nitakubaliwa kwakua Ikulu ni pawatanzania wote.
Happy Birthday ya mwanangu natarajia kuifanya Tar.29/10/2017 itakua juma pili saa 4:00 asubuhi wana JF wote nawakalibisha.
 
Nasubiria mualiko mkuu.
 
Back
Top Bottom