Hii mimba siyo yangu, mtafute mwenye nayo

Hii mimba siyo yangu, mtafute mwenye nayo

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
2,037
Reaction score
2,858
Wana JF habari zenu

Demu wangu Jana amenishangaza Baada ya kunifahamisha ana mimba yangu,.

Nikamuuliza: Siku zako ulitakiwa uzione lini
Akajibu: 30, Jana umenunua kipimo nimekuta nina mimba.
Nikamuuliza: Unamkumbuka tulikutana lini?
Akajibu: Nakumbuka tar 27.
Nikamuuliza: Mimba inakujaje hapo
Akajibu; Hata Mimi sielewi

Nikamwambia mtafute mwenye mimba
 
Unakaataje mimba? Aisee kama kuna dada ana mimba na hajui ya nani naomba ailete kwangu tu, tunapokea mimba zote zilizokataliwa au zenye mashaka ya umiliki at zero cost. No stress
Mkuu una nursery school? kuna mmoja alimkomalia mshikaji alipoambiwa DNA akaanza chenga nyingi na kupotea mazima. Hizo mimba za kupambika ndo zinawaweka mjini, unaweza kuta inazungushwa kwa wanaume 4 tofauti na wote wanatoa matumizi, teh!
 
Mkuu una nursery school? kuna mmoja alimkomalia mshikaji alipoambiwa DNA akaanza chenga nyingi na kupotea mazima. Hizo mimba za kupambika ndo zinawaweka mjini, unaweza kuta inazungushwa kwa wanaume 4 tofauti na wote wanatoa matumizi, teh....
Hahaha Mpwa wewe kama unamfahamu mtu yuko nayo wewe nipe connection tu, mengine niachie mimi, ni mradi mzuri sana sana una faida kubwa sana huna stress. Narudia tena, tunanunua mimba zilizokataliwa na zile zenye mashaka mashaka kuhusu umiliki
 
Mkuu una nursery school? kuna mmoja alimkomalia mshikaji alipoambiwa DNA akaanza chenga nyingi na kupotea mazima. Hizo mimba za kupambika ndo zinawaweka mjini, unaweza kuta inazungushwa kwa wanaume 4 tofauti na wote wanatoa matumizi, teh....
Tangu kipimo cha DNA na Partenity test kimegunduliwa wanawake woote hawana raha. Sijui wanakwama wapiii
 
Tangu kipimo cha DNA na Partenity test kimegunduliwa wanawake woote hawana raha. Sijui wanakwama wapiii
Maisha ya zamani hasa vijijini watu walikuwa wanakusanya tu watoto ili mradi umeambiwa ni wako. kuna bibi yangu yeye akisikia tu hata fununu lazima apeleke ng'ombe akachukue mtoto. Ila kwa hali ilivyo tight kwa sasa, watu wanataka wawe na uhakika wanalea watoto wao...
 
Back
Top Bottom