Huyu dada anataka nini kwangu

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,836
Habari wana JF popote mlipo Natumai Bukheri wa Afya nyote, Kama kuna wagonywa Mwenyezi Awape Hafueni.

Wakuu Nina demu wangu mmoja mwezi mmoja uliopita alinitaalifu kuwa anataka kutolewa, na mwaume Ambae wazazi wake wametaka aolewe nae, kwa maelezo yake anasema alikataa lakini wanamfosi.

Mimi kikamuambia sawa Sina comment kwakua Wewe pia ni muamuzi wa Hayo pia .
Anasema lakini huyo mwanaume yupo Mkoani(Mkoa x). Na Yeye anamjua alimuona tangu akiwa primary na huyo mwanaume akiwa secondary Miaka kazaa iliopita.

Haikunistua Kauli yake kwasababu huwa siwaaminigi Wanawake ktka Mahusiano Akinipa papuchii tu basi haniangaishi tena .
Sasa Chaajabu naona hakati Ngumu kuja Geto akija sikuhizi nafua Nguo zangu, anadeki,mwanzo Alikua anakuja weekend tu sikuhizi Kama Niko Home sijaingia job Yeye akitoka job kwake anapitia Geto namgegeda anaondoka zake.

Mpaka sasa sijampatia maana anataka nini Kwangu .

Alicho nistua Jana kaniambia anatamani nisioe Mke .
 
Mkuu nadhani wewe ndo ueleweki; inaonekana anayowasiwasi kua unamtumia bila malengo. Anakutest akili kama unampenda na unaweza kumweka ndani mazima.

Lakini mbona vijana sikuhizi ampendi sana kujiongeza muoae? au ni uvivu wa kuchukua majukumu ya baba wa familia.
 
2442267_FB_IMG_1593490990497.jpg
 
Mkuu nadhani wewe ndo ueleweki; inaonekana anayowasiwasi kua unamtumia bila malengo. Anakutest akili kama unampenda na unaweza kumweka ndani mazima.

Lakini mbona vijana sikuhizi ampendi sana kujiongeza muoae? au ni uvivu wa kuchukua majukumu ya baba wa familia.
Sasa nilimjabu vip nilete Barua akaniambia nishachelewa
 
Kakugeuza kichaka akibanwa na haja anakuja kujisaidia apo....kuna jemba zinamuhangaisha uko,fanya yako kaka tafuta mke huyo huyo sio wakoo...we jipigie tu wala usimweke kichwani.

Mimi nilishawai pata bint mwenye kasumba Kama hzo...baada ya kugundua michezo yake nikamdelete kichwan kwangu...yani wala simfatilii anipe asinipe shwar tuu mi nafanya yangu.

Ukitaka kujua hayo pekua simu yake Ila uwe na moyo mgumu.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako.
Binafsi siwaaminigi Hawa ndiyo maana alivyo nipa taarifa hiyo situstuka kwa lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom