Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material?

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,836
Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material?

Kuna kitu sikielewi katika mwili wangu, yaani nikikalia vitu vya plastic mfano: Kiti au meza, vinyweleo vya mikono vinasimama inakua kama Sumaku hivi nikitoa mkono vinalala.

Wajuzi naomba munijuze.
 
Unasema?
AEcVK7.jpg
 
Mambo ya physics hayo ngoja wataalamu waje
Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material?

Kuna kitu sikielewi katika mwili wangu, yaani nikikalia vitu vya plastic mfano: Kiti au meza, vinyweleo vya mikono vinasimama inakua kama Sumaku hivi nikitoa mkono vinalala.

Wajuzi naomba munijuze.
 
Ina maana hukumbuki shule ya msingi tulikua tunasugua rula ya plastiki kwenye nywele halafu ukiweka karibu na mkono vinyweleo vyote vinasimama..?
Kuna uhusiano gani kati ya mwili wa Binaadamu na Plastic material?

Kuna kitu sikielewi katika mwili wangu, yaani nikikalia vitu vya plastic mfano: Kiti au meza, vinyweleo vya mikono vinasimama inakua kama Sumaku hivi nikitoa mkono vinalala.

Wajuzi naomba munijuze.
 
Hiyo inaitwa electromagnetism

plastic ina kitu kinaitwa static charge au umeme asili na kwa vile wewe binadamu ni sehemu ya vitu vinavyo pitisha umeme basi effect ya static charge itakuasili lazima
IMG_0976.jpg
 
View attachment 1959931
 
Back
Top Bottom