Mafuriko Rufiji yaharibu miundombinu ya barabara ya hifadhi ya mbuga ya Selous

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,836
Habari wana JF
Nipo apa Rufiji nikishuhudia adha ya usafiri kwa wananchi na pia watalii wanao eekea SELOUS GAME RESERVE kupitia Barabara ya Mloka kutokea Dar es salaamu kabla ya kufika katika kijiji cha MKONGO kuna Madaraja ya RAMBO Na Daraja la LUWOI yamezamishwa na maji na kufikia kukata mawasiliano ya usafili katoka eneo hili .Hii ndio njia rahisi ,fipi na pia pendwa kwa Watalii wetu kufika SELOUS .Mh.Mbunge MUHAMMEDI MCHENGERWA Njoo ujionee uku wapiga kura wako na watalii wanaotumia njia hii wanavyo teseka .
FB_IMG_1495687591799.jpeg
FB_IMG_1495688826848.jpeg
FB_IMG_1495547593206.jpeg
FB_IMG_1495547577139.jpeg
 
Aisee..poleni wananchi wa huko kwa majanga, hatua za dhati na madhubuti zichukuliwe kudhibiti hali hiyo isijirudie tena
 
Back
Top Bottom