Kwanini Rais mstaafu Mwinyi, alitengua ile kauli yake

Itakuwa alikereka vya kutosha kiasi akaamua kutoa kauli kali.

Chonde chonde wahusika waende kumuomba atengue kauli ile ama sivyo itaendelea kuiandama timu ya taifa.
 
Bora asiitengue kabisa, maana siasa zinanyemelea kila sehemu
 
wakamuombe radhi mapema atengue kauli yake kabla hajatangulia mbele ya haki .tutakuwa katka majanga
 
Habari wana JF
Hivi naomba kuuliza ile kauli ya Mh.Rais Ally Hassani Mwinyi Ilitenguli au bado?
Nakumbuka aliposema "Tstarz ni Kichwa cha Mwendawazimu"
Tukubali tu kuwa mpira umetushinda watanzania. Ni vyema tukajipanga kwenye michezo mingine kama Kenya walivyofanya kwenye riadha
 
Soka la bongo limekosa mtu mzuri wa kuliongoza, morali nzur ikiwepo tutasonga mbele.

Hakuna mtu aliejitoa kuwapa moral soka kitaifa wengi ni kupokea pesa tuu na kusepa.
Naamin watanzania wanapenda mpira ila malengo haman yan tupu tupo. Siku tukiamua kuihamasisha timu yetu ya taifa kama tulivyo shap kwnye udaku nakwambia tutafika.

Wenzetu zambia walijipanga, wakazma uwanjan Afcon wakaichukua tena kwa kuichapa tembo ivory cost.

Tuachen vikali vya kiboa. Pia siko mpira tuu bali mechezo yote na imani tutafika tukijitoa.
-Uzalendo unahitajika, watu wapo tuu hawapend taifa lao
 
Kwelii hapa waziri wa michezo, rais wa BMT na rais wa tff waende wakaombe radhi mzee atengue kauli yake la sivyo tutabaki na majuto tuu
 
Inabidi iandaliwe mechi na timu kibonde ambayo stars lazima ishinde. Halafu mzee ndo awe mgeni rasmi. Kisha hapo wampe nafsi ya KUTENGUA kauli yake.
 
Back
Top Bottom